The Ape
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 330
- 475
Range Rover imekuwa chaguo la kwanza kwa muda mrefu kwa matajiri na watu maarufu duniani...
Hii ni kwa sababu ina sifa moja ambayo ni ngumu kuipata kwenye gari nyingine... "Go anywhere and do anything luxury"... Bentley Bentayga pekee ndio amejaribu kufuata nyayo za Range Rover.
Kuanzia Malkia Elizabeth II,Obama,David Beckham,Kim Kardashian,Meek Mill na Wengine wengi(You name it)... Kila wakati ukimuona mtu maarufu anashuka kwenye SUV... It's a Range Rover.
Pia,Mercedes-Benz G-Class imekua ni chaguo la pili kwa watu maarufu na matajiri duniani... Ikiipiga chini Cadillac Escalade ambayo ilikua ni maarufu kwa miji kama Los Angeles...
G-Wagon pia ni moja kati ya Full Size Luxury Suv ambayo ina offer great off-road capability...
Range Rover na G-Wagon ndio zimekua chaguo la watu maarufu duniani... Pia zina simama kama status symbol,zikimaanisha “I am Expensive”...
Wakati sisi tukitafuta magari kama usafiri.. Matajiri wanatafuta magari ya kuonesha how expensive they are...
G-Wagon pia inamilikiwa na watu kama T.I,Kim Kardashian,David Beckham,Kris Jenner na Wengine.
Acha tuone picha kadhaa...
Kim Kardashian na G-Wagon yake.
David Beckham akiwa na Range Rover na G-Wagon yake.
Davido akiwa na Range Rover na G-Wagon yake.
Kim Kardashian akiwa na Range Rover yake.
Meek mill Range Rover and G-Wagon.
Picha zaidi...
Hizi ndio SUVs for celebrities and Rich people...
Wataje unao wajua wanao miliki mojawapo ya hizi gari au zote mbili.