Kwa nini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Boflo, Feb 28, 2011.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mara nyingi nimewasikia watu wakisifia kula au kuliwa tigo, sasa kwa nini wanyama kama mbwa,mbuzi simba hawatumii tigo?
  Swali la pili ni kwa nini wanyama dume kwa dume hawafanyi mapenzi pamoja kama Binaadam? Au tuseme hakuna mbwa shoga au simba shoga? Inakuwaje??? Au ndio tuseme wanyama wamewazidi Binaadam kwa akili?
   
 2. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ngombe wanaingiliana dume kwa dume, kitendo kinachoitwa bulling ambapo wanamchangia mmoja anayeonyesha tabia za kishoga.
   
 3. s

  shosti JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahahh hii kali:rain:
   
 4. CPU

  CPU JF Gold Member

  #4
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hili swali zuri sana ila lingepaswa kujibiwa na wahusika wa huo USHETANI.
  Hata hivyo hii thread haihusu MMU bali inahusu maingiano ya kimaumbile.
  Nadhani hata kule Mambo ya Kikubwa haifai kupelekwa maana nahisi itakuwa na majibu ya KISHETANI zaidi kama itafafanuliwa kama mleta mada anavyotaka
   
 5. S

  Smarty JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  hawafanyi hivo kwa sababu hawana akili kama tulivo bin adam.
   
 6. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Wanyama naona wametuzidi akili
   
 7. mohsein

  mohsein Member

  #7
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hakika wametuzidi akili, na wanajua nini kichafu,wapi kumekatazwa...ila duh!! binaadamu sasa ukisikia neno "la mchina hilo" ukiacha kuangalia unayanyima haki macho ysko..kwani utaona dude hilooo....mawazo yanakuwa kitigotigo tuu...kah!:wink2:
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Mkuu hujawachunguza vizuri,wanyama wanafanya sana tu ushoga ningeweza kukupostia hapa video zinazoonyesha ushoga wa wanyama lakini hii ni public forum kama ukitaka waombe mods waihamishie mada yako jukwaa la wakubwa ili nikuunganishie video za wanyama wakilana tiGo dume kwa dume kisha ubadili hiyo heading yako hapo juu.
   
 9. k

  kisukari JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  mimi niliwahi kusikia mbwa shoga wapo,sasa sijui kama kuna ukweli au laa
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Mar 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Mmmh!!
   
 11. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  :mad::loco::loco::loco::loco:
   
 12. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  curiosity ya binadamu ndiyo inayomfanya awetofauti na wanyama, kunavitu vingine tumeiga kwa wanyama kama kulamba chumvi, denda, mikao wakati wa tukio...,
   
 13. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  wanyama huwa wanaingiliana kinyume na maumbile, kuna siku moja bata dume lilimpanda jogoo hadi jogoo akafa! Halafu kuna jamaa yangu alikuwa na mbuzi beberu ambalo lilikuwa na nyege balaa... yaani halichagui mbuzi wa kupanda; lilikuwa linapanda hata mbuzi dume wadogo wadogo.
   
 14. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kwani ndege(kuku, bata, njiwa nk) anapigwa wap mpipi? najua wanakulana tigo
   
 15. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  nafakiri wanyama ni wacha mungu kuliko bin-adam,.....
   
 16. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Sijawahi kuona mnyama amuingilie mwenzake kinyume na maumbile yake,wanyama wanajua ni wakati gani wa kufanya tendo na wanakuwa wanajua ni kwa ajili ya kuleta mtoto na si vinginevyo.Kutokana na Mungu kutujaalia sisi binadamu utashi wa kujua mema na mabaya tumeamua kuutumia utashi huo kwa kufanya mabaya na kuacha mema ambayo Mungu alitujaalia.
   
 17. LD

  LD JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mi nimewahi kuwaona MBUZI katoliki...........
   
 18. N

  Nothing4good Senior Member

  #18
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  sio hawana akili, sisi binadamu ndio ha2na akili.2naacha kufuata kufuata aliyo2elekeza mungu na kutaka kujaribujaribu kila ki2
   
 19. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160

  Jamani, ni 'tiGo' au 'tigo', sielewi.
   
 20. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tumekwisha
   
Loading...