Hivi watu kabla ya kukoment watu huwa wameelewa mada?Napata wasiwasi,hapa haongelei mke wake bali anaongelea wanawake wengi kuwa ni wachoyo.
nawewe utakuwa unaishi kwenye nyumba za wenzio, kama si kwa kaka yako, basi kwa baba yako mdogo. tafuta ya kwako nawewe uondokane na kubajetiwa, unakuwa mkali kisa katafuta ndugu yako? tafuta vyako ndugu. "MTEGEMEA CHA NDUGUYE..."
..hahaha nilikuwa nataka tu kujua kama Mshinga upo that's all.....karibu uchangie mada kwa kuwa umeielewa...lol!!!
Kama isivyo wote hao wanawake anao wasema.......hapa mjini ukija na kiroba chako cha mchele ukiona kinaanza kuisha basi jiandae nyendo!!!!
wanawivu ndio mana hawaridhiki eti kwakuwa ndugu yao ndo kichwa cha familia thubutuuu!!!
Atakua mkeo tu ndo ana mkono wa birika asa we unamuachia elf2 ya matumiz na unajua mkeo ni kaseja apo anahitaj kufanya marejesho akabunue dera etc unategemea atatoa wap??
Jiangalie ukija na uzi wako apa jf uwe umefanya research sio unajurupuka na kusema wanawake sema mke wangu.
Nimeamua nisitishe kwanza kuweka thread,ili nishughulike na wote wanatoa michango isiyohusiana na mada, ama wanakuja kumjadili mtoa mada na si mada,uzuri siogopi hata kurushiwa mawe,mana michango mingi ukisoma ni ya hovyo hovyo hata kama mada ni nzuri.
Roho mbaya na uchoyo.
Na wewe ukienda kijijini unabebaga mbuzi ama kiroba cha mchele?
Nipo hapa leo kupitia komenti kama hizi.
Hivi inakuwaje mdogo wako wewe akija ulipoolewa anaridhika kwa sababu tu ndugu yake ni mke/mwanamke lakini mdogo wako huyo huyo akienda kwa kaka yako asiridhike eti kwa kuwa huku anaitwa ndugu wa mume?Hauoni kama alipokuja kwako ulimhudumia vizuri kwa kuwa ni ndugu yako lakini alivyoenda kwa kaka yake algudumiwa kwa uchoyo kwa kuwa yule mwanamke si ndugu yake?"Wanawake wengi ni wachoyo" nakubali
Mbona unamtuhumu mleta mada?Sisi tunataka kujua kama ni kweli ama la,kuwa wanawake ni wachoyo,kama unapinga toa sababu na kama unakubali toa maelezo yako,hii habari ya kujadili na kushambulia waleta mada inapaswa kukoma mara moja na kama huna cha kujadili kwenye mada soma michango ya wengine ama acha na si kujadili mleta mada badala ya mada.
Kwani umeolewa?halafu ndugu wa mume hawaridhikagi, sijui wapoje?
Na wewe ni mchoyo?Ni kweli wanawake wengi ni wachoyo tena ukute kaolewa ndugu wa mume watakomaa
Tena wengine huwabania hata watoto chakula,nguo n.k
Wanawake tubadilike hili ni kweli kabisa tuwe na kiasi chs uchoyo
Na wewe ni mchoyo?
Ukishindwa mwenyewe kujiamini nikweli itakuwa ngumu hata mimi kukuaminiHata nikisema sio mchoyo utaaminijeww
Ukishindwa mwenyewe kujiamini nikweli itakuwa ngumu hata mimi kukuamini