mara nyingi ndugu wa mwanamke hawana shida coz wanajua wapo ugenini so hawawezi kuleta controlling ya masuala ya nyumba ya ndugu yao. tatizo ndugu wa mwanaume wakija kwa ndugu yao hujiona kama wao ndio wenye nyumba. watataka wahoji kila kitu, kitu ambacho sio sahihi,
Mkuu Bujibuji, inaitwaje hiyo dini yenu?Wanawake waliumbwa kupokea sio kutoa. Ndio maana kwa dini yetu, mwanaume akisha maliza, mwanamke atajijua asipoweza kujifikisha kileleni basi hatofikishwa
Si unajui mshiko ulivyobamba siku hizi mkuu? ILA Ukipunguza kufukia, nitaacha masimango.hahahhaa,sawa we tusimange tu,na sisi tunapita Jf ujue
halafu ndugu wa mume hawaridhikagi, sijui wapoje?
Dini ya wagagaggigikokoMkuu Bujibuji, inaitwaje hiyo dini yenu?
Na mahouse girl pia nitawahusishaWanawake waliumbwa kupokea sio kutoa. Ndio maana kwa dini yetu, mwanaume akisha maliza, mwanamke atajijua asipoweza kujifikisha kileleni basi hatofikishwa[/QUOTE
Mh! houseboy atahusishwa kama mambo yenyewe ndo hivo
Umesema yote. Mijitu ya namna hii hasara sana. Wakafanye kazi P*mbav zao !!!
mh wewe umevurugwa tu huko utokako
Kajitegemee utagombana na shemeji yako buree.......bajet unataka upange wewe kama mama mwenye nyumba.
Unataka nyama kila siku eeeh....eti haturidhiki,kama umetoa hela vile!!!!!
Ha ha haaaaaaa makavu live
Wewe ni mwenzao????!!!!
Kajitegemee utagombana na shemeji yako buree.......bajet unataka upange wewe kama mama mwenye nyumba.
Unataka nyama kila siku eeeh....eti haturidhiki,kama umetoa hela vile!!!!!