Ingawa sio wote lakini wengi ni wachoyo sana naona hata wewe unayesoma hii maada kama mwanamke itakuwa inakugusa inawezekana na wewe ni mchoyo.Unakuta nyumbani kuna kila kitu au mumeo amekuachia kila kitu lakini utafanya vijibajeti unavyovijua mwenyewe ili watu wasilizike, muhusika akikuuliza unakuja na majibu yasiyo na kichwa wala miguu yawezekana anayetafuta mwingine sio wewe hii ni kwa nini?
ni HE kule kwetu ambako ukituudhi tu tunajinyonga ukiona mwa-gito ujue wa kiume angekuwa wa kike angeitwa se-gito
Hii statement nimeisikia kama ×10 hivi, ndugu wa mume haridhiki, kwa nini awe wa mume tu, wa kwako yeye anaridhika?
sisi wanaume bajeti za ndani huwa hatuzijui na ndiyo maana tunaona wenzetu hivyo , mama akiishiwa limao nayo akuombe hela , huwa wanaweka hela ya dharula yakimkuta awe na uwezo wa kuyatatua haraka na hapo ndiyo sheshe linapoanzia la ubahili, sisi bajeti zetu ni bia nyama choma na washkaji na offer za bar zisizo na kichwa wala mguu
ninao hao watu hapa kwangu, balaaaa
halafu ndugu wa mume hawaridhikagi, sijui wapoje?
Sio wanaume wote tunakula nyama.
Hii statement nimeisikia kama ×10 hivi, ndugu wa mume haridhiki, kwa nini awe wa mume tu, wa kwako yeye anaridhika?
Kajitegemee utagombana na shemeji yako buree.......bajet unataka upange wewe kama mama mwenye nyumba.
Unataka nyama kila siku eeeh....eti haturidhiki,kama umetoa hela vile!!!!!
haa haaa acha hasira mkuu, mimi kuwa ndugu wa mume hakuwezi kubadili ukweli kuwa kuwa tuna matatizo sana ya kupenda kuingilia masuala ya ndan ya ndugu zetu. mimi nimegundua tatizo lilipo na na naepukana nalo, wewe je chukua hatua mkuu.wewe mwenyewe ni ndugu wa mume upande flani..I hate watu wenye mawazo yako..lini waafrika tutabadilika tuache vimaneno maneno??mara mama mkwe,mara ndugu wa mume..don't you know kuwa kaka au mdogo wako akioa utakua ndugu wa mume??au mama yako atakua mama mkwe??TUBADILIKE!!
Yaani ni balaa......na baadhi yao ni manung'uniko mpaka mwisho!!!
Wanawake waliumbwa kupokea sio kutoa. Ndio maana kwa dini yetu, mwanaume akisha maliza, mwanamke atajijua asipoweza kujifikisha kileleni basi hatofikishwa[/QUOTE
Mh! houseboy atahusishwa kama mambo yenyewe ndo hivo
Si uchoyo ni budget maisha magumu haya ujue,hatwez kua tunakula sato kila cku,maharage tembele vyahusika...hauwez kakae kwako c kukaa kwa watu!maana kuna watu wanakula jaman utafikiri hana uhakika km atakula kesho na keshokutwa
Kajitegemee utagombana na shemeji yako buree.......bajet unataka upange wewe kama mama mwenye nyumba.
Unataka nyama kila siku eeeh....eti haturidhiki,kama umetoa hela vile!!!!!
na ndugu wa mke kwa nini hawalalamiki?