100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,668
- 38,286
Nani aliyesema kuna miamdiko ya kike na kiumeAlafu ya kike mizur ingawa wapo wanaume pia wenye miandiko kam ya kike
Kwasbb wanawake wanafanana tabia. Kwahiyo ni rahisi.
Mkuu mm ni mtu wa fasihi kwahiyo umenipa wakati mgumu sana kwa ID yako. Mchicha pori unajua maana yake? Achana na maana ya msingi, nazungumzia maana ya ziada.
In most cases miandiko ya wanawake IPO sawa,ndio maana kasema hivyo.Nani aliyesema kuna miamdiko ya kike na kiume
driller⛏⚒
Somehow umeni convince halafu nahisi pia wanawake mambo yao ni ya kuremba sana,ukitizama viatu,nguo , n.k ni watu wanaopendelea kuremba vitu vyao nahisi labda hata miandiko yao wanaremba.sina hakika ila nawaza tu
huenda ikawa ni misuli(hapa nazungumzia misuli ya mikononi)
kama tujuavyo misuli ya mwanamke si strong kama ya mwanaume lkn inaweza kuwa strong pia.. so huenda ushikaji wa karamu na nguvu anayotumia mwanamke pamoja na mwanaume ni tofauti kutokana na utofauti wa kimaumbile yetu,hivyo ndio maana kunakuwa na tofauti hizo..
Kwasbb wanawake wanafanana tabia. Kwahiyo ni rahisi.
Mkuu mm ni mtu wa fasihi kwahiyo umenipa wakati mgumu sana kwa ID yako. Mchicha pori unajua maana yake? Achana na maana ya msingi, nazungumzia maana ya ziada.
Somehow umeni convince halafu nahisi pia wanawake mambo yao ni ya kuremba sana,ukitizama viatu,nguo , n.k ni watu wanaopendelea kuremba vitu vyao nahisi labda hata miandiko yao wanaremba.
Nahisi hii miandiko inaelezea kitu Fulani amabacho ni halisi either tabia n.k.
kbs,kunabaadhi ya mambo ni matokeo ya tabia/kitu fulani!Somehow umeni convince halafu nahisi pia wanawake mambo yao ni ya kuremba sana,ukitizama viatu,nguo , n.k ni watu wanaopendelea kuremba vitu vyao nahisi labda hata miandiko yao wanaremba.
Nahisi hii miandiko inaelezea kitu Fulani amabacho ni halisi either tabia n.k.
Unataka kununua kesi eeh?Alafu ya kike mizur ingawa wapo wanaume pia wenye miandiko kam ya kike