Kwa nini wanawake wanafanana miandiko?

Sikubaliani na wewe wazungu hao hao walifanya research ya miandiko katika kutofautisha zaidi ya 65% watu walikuwa accurately kukisia either writer male or female.
Wewe ume experience hivyo wapi?in real life not movies.

Sio movies, mkuu! Ninaishi nao na kufanya nao kazi! Labda kama tusiokuwa wazungu hatuwezi kutambua miandiko ya wazungu wa kike na wa kiume. Huo mfano wa pili ni mwandiko ambao wapo wengi wa kike na wa kiume walio nao!
 
Siwezi kubishia but jaribu ku Google utafahamu nachomaanisha.
 
Siwezi kubishia but jaribu ku Google utafahamu nachomaanisha.

65% accuracy haitoshi! Kumbuka kila unapobuni kuna 50% probability ya kubuni correctly, kwa sababu kuna possibilities mbili tu; ama KE au ME, assuming umepewa set yenye miandiko ya kiume na ya kike kwa idadi sawa. Ili tuweze kuamini kwamba miandiko ya wazungu sio gender-neutral, matokeo ya guessing lazima yawe na accuracy kubwa sana (say 80%+). Na hii kwa wanawake wetu unaipata bila shida!
 
Mchcha Nmekujb Vzr Namna Wanawake Wanavyokama Pen, Ss Km Unataka Porojo Kwenye Science, Basi Subiri Jibu.
 
Kama ulibahatika kusoma shule za mchanganyikeni utagundua kwamba mara nyingi wanawake miandiko yao inafanana sana,tofauti kidogo na wanaume wanakuwa na handwritting tofauti tofauti.
Unaweza kutazama tu notes fulani ukajua either ni mwanaume au mwanamke kaandika.

Pia nadhani ulishakutana na mtu anasema fulani anaandika mwandiko wa kike!!
Chunguza ndugu zako wakike miandiko yao,au mkeo au hata rafiki wa kike utagundua kwa kiasi fulani wana fanana miandiko(in most cases).

Mfano mwandiko hapo chini nikiuliza ni jinsia gani kaandika wengi watasema ni msichana.

majibu-form4-jpg.84623

Na huu hapa mtasema ni mwanaume.

Harper-sig-660x412.jpg

Kwa nini iwe hivyo?
Wanajifunzia wapi?
Au labda ni asili au ni nini?
Inamaanisha nini?
NAWASILISHA.
Mi najua sababu wao ni wanawake wanabeba mimba kihalali mimba inapoingilia ndipo inapptokea tabia zao moja mama yao mmoja na ndio maana mwandiko wao mmoja maana mwalimu wao kipofu na mwanamke ndo kiumbe pekee chenye maajabu 7 duniani kama umewahi ishi na wanyama kama mbuzi nyau na simba wale wa kike lakini ukijua mawasiano yao mwandiko wao ni mmoja Lumumba lukumba tofauti na wa kiume mwandiko wao makinikia kinikia hata katika wanafunzi 12 wa bwana yesu wanawake hawakuwepo kwa sababu ya lukumba lukumba yao na pia ndio kiumbe pekee dunian kinachoweza kubeba mimba ya fulan kikaenda kumpa mwingine na kumwaminisha ni yake ktk maajabu yake 7 mwanamke ndo kiumbe tabia zake nyingi anafanana na mbuzi wa kike mwandiko wake kama wa mbuzi jike wengi hapa hawatanielewa hawajui mbuzi anaandikaje ni somo pana kukojoa kwa mbuzi jike anachuchumaa kama mwanamke nina mengi sana ila sitaeleweka ngoja nikaongeze bia kwa mangi nitarudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
65% accuracy haitoshi! Kumbuka kila unapobuni kuna 50% probability ya kubuni correctly, kwa sababu kuna possibilities mbili tu; ama KE au ME, assuming umepewa set yenye miandiko ya kiume na ya kike kwa idadi sawa. Ili tuweze kuamini kwamba miandiko ya wazungu sio gender-neutral, matokeo ya guessing lazima yawe na accuracy kubwa sana (say 80%+). Na hii kwa wanawake wetu unaipata bila shida!
Wewe hiyo takwimu ulijifunza shule gani?even 51%inatosha kutoa majibu sasa wewe hiyo 80% sijui imetoka wapi sijawahi ona statistics ya aina hiyo.

Haya sasa nenda kabishane https://www.quora.com/Why-does-girl...even-a-sexual-gender-character-to-handwriting

Kasome hapo quora hao ni wazungu wabishie.
 
Shule nilikosoma statistics ni irrelevant kwenye hoja hii. In fact, mimi sio msomi.

Sijaona jinsi hawa Quora wanavyothibitisha unachoamini. Wanazungumzia zaidi personality rather than gender. Personality ni multidimensional phenomenon.

As a matter of fact, Statistics is an art that is susceptible to data mining phenomenon and a researcher's biases. Kwa taarifa yako, katika Statistics kuna kitu kinaitwa spurious relationships (correlations ya vitu ambavyo havina logical relationship yoyote).
 
Kujua statistics haimaanishi wewe ni msomi au la au sijakuuliza kama wewe ni msomi,nilikuuliza hiyo aina ya statistic uliitolea wapi.
Gender imezungumziwa hapo sema unataka kuonekana upo right basi umeshinda mkuu mimi sina la ziada ya hapo.Jioni njema.
 
Miandiko ya watu wa mataifa ya magharibi ni gender-neutral. Pia sijawahi kuona mwandiko wa mwanamke mzungu unaofanana na miandiko iliyo mingi ya wanawake waswahili.

Huo mfano wa pili, kwa mfano, unaweza kuwa mwandiko wa mzungu wa kike au wa kiume.
 
Miandiko Huwa Haifanani, Jaribu Kuchunguza Vzr Ila Art Zinafana. Ni Km Sauti, Ya Mwanamke Utaijua Tu Lkn C Kuwa Nazo Znafanana, Ndo Maana Wanawake Wengi Wanaimba Sauti Ya 1 Na 2 Wkt Wanaume Wengi 3 Au 4. Turudi Kwenye Mwandiko; Mwandiko Huja Kutokana Na Namna Unavyoikamata Kalamu, Aiadha Kwa Position Au Kwa Strength. Wanawake Wengi Hushika Karamu Sehemu Ya Chini Kabisa Au Kwa Nguvu Wkt Wanaume Juu Kidogo Au Sana Na Wengine Hulegeza Na Kuinamisha Peni Na Kulaza Mwandiko. Km Ilivo Kwa Sauti Kuna Wanawake Wanaoimba Bass, Pia Wapo Wanawake Wenye Art Ya Kiume. Pia Km Ilivo Kwa Wanaume Wenye Saut Ya Kike Pia Kuna Wanaume Wenye Art Ya Kike Ktk Kuandika.
 
Sina hakika sana ila wanawake ni watu wenye tabia ya kuchekana sana kwenye mambo yao wanayoyafanya tofauti na wanaume,hivyo akiwa na hati ya mcharazo tena iliyolala wanamsema ana mwandiko wa kiume na kutokana na asili yao ya kupenda kusifiwa anakuwa hayuko sawa,hivyo atajitahidi sana kuhakikisha anakuwa na hati nzuri tena inayofanana na mwenzie anayesifiwa vizuri,lakini wakati mwingine wingi wa mambo mengi kichwani huwa inasababisha hati ya mtu kubadilika hata kama ilikuwa nzuri mfano madaktari,maprofesa,wakandarasi,wapigadili n.k.
 
wanawake tunaandika kivivu sana ndio maana.
na uwekaji wa kichwa ,unapoelemezea kichwa ndipo herufi zinakolalia....
mimi binafsi enzi za shule nilikua na miandiko zaidi ya mi5 ,sina mwandiko maalumu.
nikiona mwandiko wa mtu mzuri nauchukua naandika kwangu

kuna kipindi shule ya msingi waliitwa watu wa miandiko sawa wajaze form akakosekana mmoja nikaenda mimi nikaiga nwandiko wao tukaenda sawa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kushangaza zaidi miandiko ya wanawake hubadilika as they grow up..mwandiko wa mwanamke akiwa sekondari ni tofauti na ule wa chuo na hali kadhalika wa Kazini. Sasa sijui ni kukomaa kwa misuli ya mkono au ubongo. Hii kitu ipo mpaka kwa Wazungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom