100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 3,610
- 12,039
Kama ulibahatika kusoma shule za mchanganyikeni utagundua kwamba mara nyingi wanawake miandiko yao inafanana sana,tofauti kidogo na wanaume wanakuwa na handwritting tofauti tofauti.
Unaweza kutazama tu notes fulani ukajua either ni mwanaume au mwanamke kaandika.
Pia nadhani ulishakutana na mtu anasema fulani anaandika mwandiko wa kike!!
Chunguza ndugu zako wakike miandiko yao,au mkeo au hata rafiki wa kike utagundua kwa kiasi fulani wana fanana miandiko(in most cases).
Mfano mwandiko hapo chini nikiuliza ni jinsia gani kaandika wengi watasema ni msichana.
Na huu hapa mtasema ni mwanaume.
Kwa nini iwe hivyo?
Wanajifunzia wapi?
Au labda ni asili au ni nini?
Inamaanisha nini?
NAWASILISHA.