Kwa nini wanawake hununa bila sababu ya msingi?

Jamani taratibu coz nampa shem/wif yenu ajisomee mwenyewe post na comments husika,nimemkuta kama mtoa maada alivyosema "kanuna bila sababu".

Hahah, mpe asome kweli maana wanakera hawa watu, unakuta unatoka job na furaha yako tele ukiingia tu ndani mtu kavimba mpaka anataka kupasua nyumba kwa kuvimbiana
 
Wakuu tatizo la kununa kwa kweli ilo lipo sana hii tabia inapelekea mwanaume awe na michepuko ya kutosha yaan mfano hai ninao kabisa nimeuona jaman wamama na madada zetu badilikeni jaman

Me mwenyewe shahid, kuna rafiki yangu mke wake akiamua kununa ni wiki tena ananunia kila mtu hapo nyumbani, jamaa alichokifanya ni kutafuta mchepuko na siku zingine harudi home kabisa cz alikemea ile hali ya kununa ikashindana
 
Me huwa najinunisha weee zamani ndo ilikua raha, nabembelezwaaaa mpaka, ila saivi sjui kanichoka khaa nikinuna na yeye ananuna tena ananuna haswaaa mpaka nim bembeleze ndo anichekee ,mpaka najuta kulianzisha ila wanaume kiboko, kaniiga pozi langu sasa sjui nimfanyeje
 
Dah... huezi kuamini... mimi mwenyewe hapa nimenuniwa with no reasons.... unamsesha mtu anakujibu ovyo tu... inaboa sana.... ila dawa yao na wao ni kuwanunia then unahamishia mapenzi kwa mchepuko...!!!!
 
Yaani nyie viumbe acha tu, ndo maana MUNGU kasema tuishi na nyie kwa akili sana, maana mnapasua vichwa.
 
Dah... huezi kuamini... mimi mwenyewe hapa nimenuniwa with no reasons.... unamsesha mtu anakujibu ovyo tu... inaboa sana.... ila dawa yao na wao ni kuwanunia then unahamishia mapenzi kwa mchepuko...!!!!

Mvutie kifuani kwani ndo muda wenyewe huu
 
hata km una stress ukiingia mmu lazima stress zitapotea hongera kwa muanzilishi wa hii forum
 
It appears kwamba michepuko haitaisha na ni 'comfort zone' aliyoisema Prof. mama Tibaijuka! Ni kazi kweli kweli
 
Me huwa najinunisha weee zamani ndo ilikua raha, nabembelezwaaaa mpaka, ila saivi sjui kanichoka khaa nikinuna na yeye ananuna tena ananuna haswaaa mpaka nim bembeleze ndo anichekee ,mpaka najuta kulianzisha ila wanaume kiboko, kaniiga pozi langu sasa sjui nimfanyeje

itabidi utafute mbinu nyingine iliyo ngumu kuiiga ,atasanda tu, itakuwa shuleni alikuwa anaiga mpaka nukta
 
Back
Top Bottom