Kwa nini wanawake hununa bila sababu ya msingi?

Kwa nini wanawake hununa bila sababu ya msingi?

Hata umchape nao vipi akiamua mnuno unaweza ukachoka mwenyewe, na hakuna mwanaume duniani anapenda haya maigizo ya hawa viumbe
 
African-American-woman-confused.jpg

kanuna lakini bado mrembo.
 
Haya ndio matatizo ya kuacha mila na desturi za asili yetu...matokeo yake vijana wa digitally wanashangaa kila kitu na wakati mwingine walivyokua wavivu...anaona hata kugoogle tu ili ajisomee na kuelewa zaidi ni shida...kazi kubwa ni kudesa tu jf.

Kwetu sie tulio pitia jando...hayo makitu hayatusumbui.
Tena sio unajikoki huko na kutaka kudandia tu kama punda wakati ni siku ya maji kitaifa....hivi vitu huwa haviulizwi bali unatakiwa kujua na mwenza wako atafarijika sana akijua uko sambamba na alarm.

Nasubiria uanzishe uzi mwingine "mke wangu leo kagoma kuweka chumvi kwenye mboga, kanitaka niweke mie....nisaidieni simuelewi"
 
By nature, wanawake weng wameumbwa kuamin direct vtu wanavyovifkiria bla kufanya uchunguz wa kna, xo weng hawajiongez ktk kuchanganua mambo mbalmbal in lyf na hyo inawapelekea kuanza kuwa km hzo ktk jamii
 
dawa yao ni makofi tu..
Akinuna ww tandika makofi kama matano hvi halafu nenda kajiliwaze kwa mchepuko
 
Nakumbuka kuna roli nishawahi kuliona limeandikwa UKINUNA UWE NA SABABU.. naamini kuna sababu.. Ongea nae vizuri
 
By nature, wanawake weng wameumbwa kuamin direct vtu wanavyovifkiria bla kufanya uchunguz wa kna, xo weng hawajiongez ktk kuchanganua mambo mbalmbal in lyf na hyo inawapelekea kuanza kuwa km hzo ktk jamii

Wengine hufanya makusudi ili kumkomoa mwanaume, cz wanajua hakika hakuna mwanaume anayependa kukaa na mtu aliye vimbiana mashavu bila sababu
 
Sio kwa wanawake tu hata wanaume kuna siku mwili huwa unakua haupo sawa yaani unakuwa hautaki kusumbuliwa na hasila za karibu... kwa uchunguzi wangu nikagundua sababu ya kwanza kwa wadada ni kukaribia kwa siku zao sababu nyingine ni mwili unahic vitu ambavyo macho na akiri yako haiwezi kuvitambua
 
Pengine ana kinyongo na wewe so ananuna ili umuulize. Ukimkuta mbishi hakuulizi teheee utanuna mpaka utajichekesha mwenyewe.

Mwingine ana stress zake na hajajua cha kufanya so amaishia kununa to the closest person kwake kama mumewe bila ku share nini tatizo.

Mwingine pozi tu anataka abembelezwe, apetipetiweee ebwanae...aulizwe sweeet potato unanini leo... eeee ubani wa roho yangu?! Dadeki akikutana na mzizi mkavu jamaa ndo kwanza anaitisha msosi huku anacheki tv, jamaa hakumbuki hata kama upo pale sembuse eti umenuna lol

ila wapo wanaume wanunaji jamani eeee ukimpata wa hivyo jamani ni msiba hao... loh bora mwanamke anune jamani dah
 
Dah basi kazi ipo, km ndo hivyo.
 
Back
Top Bottom