The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,111
- 115,924
Hivi kwa nini ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke
au ndoa....halafu siku moja mwanamke akakwambia 'fulani ananitongoza'
hivi maana yake hasa ni nini??????
Kwa nini wanaume wengi wakiambiwa hivyo huamini kuwa huyo mwanamke
keshatembea na huyo fulani?
Na kwa nini kama ni kweli wanawake wengi hupenda kusema hivyo?
Inanishangaza hii tabia sana....