Kwa nini wanawake hufanya hivi???????

Mwanamke mwenye kwenda unyago hawezi mwambia boyfriend au mume wake eti fulani kanitongoza, bali hudeal na huyo aliyemtongoza kwa kumwambia tayari ameshawahiwa na asiendelee kumsumbua kabisa na umtishia akiendelea atamwambia mumewe na akionyesha sura ya userious huyo mtu hatorudi, sasa ukienda mwambia muhusika unakuwa unataka akapigane? sidhan kama ni njia nzuri ya kudeal na mitongozo
 
Hivi kwa nini ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke
au ndoa....halafu siku moja mwanamke akakwambia 'fulani ananitongoza'

hivi maana yake hasa ni nini??????

Kwa nini wanaume wengi wakiambiwa hivyo huamini kuwa huyo mwanamke
keshatembea na huyo fulani?

Na kwa nini kama ni kweli wanawake wengi hupenda kusema hivyo?

Inanishangaza hii tabia sana....

Mkuu hilo ni kutikisa kiberiti tu, mwanamke asipotongozwa hajisikii hata siku moja, na hivyo anakwambia kuwa you have a beautiful woman so be careful na usitafute wengine maana pia yeye anatafutwa....
 
Hivi kwa nini ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke
au ndoa....halafu siku moja mwanamke akakwambia 'fulani ananitongoza'

hivi maana yake hasa ni nini??????

Kwa nini wanaume wengi wakiambiwa hivyo huamini kuwa huyo mwanamke
keshatembea na huyo fulani?

Na kwa nini kama ni kweli wanawake wengi hupenda kusema hivyo?

Inanishangaza hii tabia sana....


Sababu zina vary... lakini mara nyingi naona ni kutojiamini au ku draw attention yako...
 
mkuu hilo ni kutikisa kiberiti tu, mwanamke asipotongozwa hajisikii hata siku moja, na hivyo anakwambia kuwa you have a beautiful woman so be careful na usitafute wengine maana pia yeye anatafutwa....

viberiti vingine vimejaa lol
 


Thanks back... naukubali saana huo wimbo for nampenda saana Alicia... Jay z sio kivile...

Empire State Of Mind Lyrics

[Jay-Z]
yeah
Yeah I'm out that Brooklyn.
Now I'm down in Tribeca.
Right next to DeNiro
But I'll be hood forever
I'm the new Sinatra
And since I made it here
I can make it anywhere
(Yeah they love me everywhere)
I used to cop in Harlem
All of my Dominicanos (Hey yo)
Right there off of Broadway
Brought me back to that McDonalds
Took it to my stash spot
560 State Street
Catch me in the kitchen like Simmons whipping Pastry
Cruising down 8th street
Off-white Lexus
Driving so slow
(but BK, it's from Texas!!)
Me I'm out that BedStuy
Home of that boy Biggie
now I live on Billboard
and I brought my boys with me
Say what up to Ta-ta
Still sipping Mai Tais
Sitting courtside
Knicks and Nets give me high-5
N**ga, I be Spiked out
I could trip a referee
...tell by my attitude that I'm MOST DEFINITELY FROM...

[Alicia Keys]
New York!!!!
Concrete jungle where dreams are made of,
There's nothing you can't do,
Now you're in New York!!!
These streets will make you feel brand new,
the lights will inspire you,
Let's hear it for New York, New York, New York


[Jay-Z]
I made you hot n-gga,
Catch me at the X with OG at a Yankee game,
sh-t I made the Yankee hat more famous than a Yankee can,
you should know I bleed Blue, but I ain't a crip tho,
but I got a gang of n-ggas walking with my clique though,
welcome to the melting pot,
corners where we selling rocks,
Afrika bambaataa sh-t,
home of the hip hop,
yellow cab, gypsy cab, dollar cab, holla back,
for foreigners it ain't fitted act like they forgot how to act,
8 million stories out there and they're naked,
city it's a pity half of y'all won't make it,
me I gotta plug a special and I got it made,
If Jeezy's payin LeBron, I'm paying Dwayne Wade,
3 dice cee-lo
3 card marley,
Labor Day parade, rest in peace Bob Marley,
Statue of Liberty, long live the World Trade,
long live the king yo,
I'm from the Empire State thats…

[Alicia Keys]
In New York!!!!
Concrete jungle where dreams are made of,
There's nothing you can't do,
Now you're in New York!!!
These streets will make you feel brand new,
the lights will inspire you,
Let's hear it for New York, New York, New York

Welcome to the bright light..

[Jay-Z]
Lights is blinding,
girls need blinders
so they can step out of bounds quick,
the side lines is blind with casualties,
who sip the lite casually, then gradually become worse,
don't bite the apple Eve,
caught up in the in crowd,
now you're in-style,
and in the winter gets cold en vogue with your skin out,
the city of sin is a pity on a whim.
good girls gone bad, the city's filled with them,
Mommy took a bus trip and now she got her bust out,
everybody ride her, just like a bus route,
Hail Mary to the city your a Virgin,
and Jesus can't save you life starts when the church ends,
came here for school, graduated to the high life,
ball players, rap stars, addicted to the limelight,
MDMA got you feeling like a champion,
the city never sleeps better slip you a Ambien

[Alicia Keys]
New York!!!!
Concrete jungle where dreams are made of,
There's nothing you can't do,
Now you're in New York!!!
These streets will make you feel brand new,
the lights will inspire you,
Let's hear it for New York, New York, New York

[Alicia Keys]
One hand in the air for the big city,
Street lights, big dreams all looking pretty,
no place in the World that can compare,
Put your lighters in the air, everybody say yeaaahh
come on, come,
yeah,

[Alicia Keys]
New York!!!!
Concrete jungle where dreams are made of,
There's nothing you can't do,
Now you're in New York!!!
These streets will make you feel brand new,
the lights will inspire you,
Let's hear it for New York, New York, New York

[End]
 
wakitoa hawasemagi,na hata wakitoa wanaweza sema wanatakwa kumbe wameshavua kitamBO SANA.
 
Wanawake wa aina hii uwaogope kama ukoma, waongo wachonganishi, na kuna mwanamke namjua alikuwa mchoyo sana kila mumewe akitoka na wenzake vile anavolipa bili roho inamuuma, akasema akamdanganya mumewe kuwa fulani wananitongoza mumewe aliwachukia na akakata mguu kuwa nao, sasa embu fikiria bora ya huyu aliyekata mguu, kuna wengine revenge zao huwa mbaya sana na zinaleta madhara makubwa
 
Hivi kwa nini ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke
au ndoa....halafu siku moja mwanamke akakwambia 'fulani ananitongoza'

hivi maana yake hasa ni nini??????

Kwa nini wanaume wengi wakiambiwa hivyo huamini kuwa huyo mwanamke
keshatembea na huyo fulani?

Na kwa nini kama ni kweli wanawake wengi hupenda kusema hivyo?

Inanishangaza hii tabia sana....

Hii ni kutokana na kuwa wanawake wengu tuko very faithfully cos tunakuwa tunawaalet ili likitokea lakutokea usishangae kwanini hukusema. ila mwanaume akitongozwa tu na sichana hasemi wala nini na jina lwa kwenye simu litaseviwa fundi bomba.
 
Boss hapo inaweza ikawa kweli jamaa kamtokea na hana mpango nae.Ila sometimes wanatakaga kujiongezea attention,asikwambie mtu wnawake wanapenda attention achaa!!
 
Back
Top Bottom