Kwa nini wanawake hufanya hivi??????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini wanawake hufanya hivi???????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Feb 24, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke
  au ndoa....halafu siku moja mwanamke akakwambia 'fulani ananitongoza'

  hivi maana yake hasa ni nini??????

  Kwa nini wanaume wengi wakiambiwa hivyo huamini kuwa huyo mwanamke
  keshatembea na huyo fulani?

  Na kwa nini kama ni kweli wanawake wengi hupenda kusema hivyo?

  Inanishangaza hii tabia sana....
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  The Boss unanitongoza ohoo
   
 3. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni kuwa huyo mke alietongozwa hana haja na huyo aliemtongoza ndio manake anakuambia katongozwa.lakini kama alitongozwa na akakubali wala hatakuambia kuwa katongozwa..atachakachuliwa weee mpaka akuletee mtoto wa kisukuma na nyie wote wachaga.
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Boss saa zingine huwa inakuwa ni kweli na saa zingine inawezakana isiwe kweli, kuna mwanamke mwingine unakuta anakwambia fulani ananitongoza wakati tayari kaishatembea nae na kuna mwingine atakwambia the same story lakini huyu akifanya hivyo ili hata kama ikitokea una suspicions juu ya huyo mtu inakuwa kama vile tayari alikuwa aliisha ku-alert mapema on the situations kwahiyo sometimes inakuwa kama vile kuchukua precautions mapema lakini the situation is still 50/50.
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Are u sure??
   
 6. LD

  LD JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mi nadhani wanasema kwa nia nzuri tu!!!
  Lakini pia inategemea huyo mtu amenitongoza halafu nimemjibu akawa hataki kunielewa akawa msumbufu na kuninyima furaha na amani. Nitamwambia huyo mume/mchumba, kufanya hivo ni ili naye anisaidie au anipe mchango wa mawazo jinsi ya kumuepuka. Lakini kama amenitongoza nikampa jibu akanielewa wala siwezi kumsemea kwa mume wangu.

  Kwa nini nitengeneze bifu kati ya mume wangu na mwanaume mwingine/wengine. Huwezi jua leo na kesho watakuja kukutana wapi. Dunia kubwa hii unamchongea mwanaume aliyekutokea tu siku moja ukamkataa akakuelewa kwa kiherehere unamwambia huyo mtu ako, anamchukia kesho wanakutana ofisi moja, wanafanya kazi pamoja halafu moja Boss wa mwenzie. Anakuwa anajisemea tu moyoni, unammendea mke wangu wewe!!

  Daaa sio lazima hata ukikutana na paka njiani uje kumwambia your husband bwana. Lakini tuwe waaminifu kwenye mahusiano tunayokuwa nayo!!
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nasemea from experience wee si unakumbuka wakati uliponiambia yule jamaa anayekaa nyumba ya jirani kuwa anakutongoza
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Yalishanitokea pia, tatizo ukimwambia akutajie aliyemtongoza ni kama unapigana na ukuta. Nadhani ni mbinu ya kukufanya uwe na attention kwake na si zaidi
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Raia Fulani hilo pia linawezekana
   
 10. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,171
  Likes Received: 1,900
  Trophy Points: 280
  Kinacho kushangaza ni nini mbona!
  Mbona wale unao wapenda na kuwapa huwasemi.
  Kwa vile humpendi ndio unawasemea du unataka wauwane ndio ufaidi vizuri.
   
 11. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  In full support of your comments!

  Huwezi kuwa na definite jibu na inabaki 50/50, cha msingi ni kumjua mke/mchumba wako kiasi kwamba iwe rahisi kwako kutambua anachokisema ni sanaa tu ama anamaanisha.

  Pata picha ya mke aliyezoea kumwambia Mr. wake pindi anapotongozwa kisha ikafika mahali akaamua kutosema hata kama anatongozwa mara 10 kwa siku. Wewe Mume mawazo gani yatakujia kichwani...."si mzuri/hana mvuto tena?" au "anachakachuliwa ndo maana hasemi?"...

  Binafsi natambua mijamaa huwa inamtongoza wife wangu hata kama asiponiambia ingawa kuna wakati huwa anasema pengine kwa kuona it is getting out of control. Tatizo ni kwamba akiamua kukusaliti anaweza tu
   
 12. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Most of the tym anakua ashatembea na mshkaj au yupo in the way !!!
   
 13. Sinai

  Sinai JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni strategy ya wanawake ya kujiweka safe side! Siku ukija jua kuwa mkeo anamtu anawasiliana nae atakuambia tu kuwa si nilikuambia kuwa jamaa ananitongoza na nikataa lakini anang'ang'ania? Hapo ujue mwenzio anakula ila anajilinda tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu hebu kamata hii kitu chini hapa

  The Following User Says Thank You to RealMan For This Useful Post:

  The Finest (Today) ​
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160

  Hapo ushachakachuliwa Boss aliyempa alikwambia??? Hapo ujue anajikosha tu mimi hata ukinitongoza simwambii jamaa
   
 16. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #16
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kumbe ulishasema nilikuwa sijaona
   
 17. Dyslexia

  Dyslexia Senior Member

  #17
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  smart!!
   
 18. Dyslexia

  Dyslexia Senior Member

  #18
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  you are so naive.....
   
 19. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  ha ha ha ha ha
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mhhhhhhhh
   
Loading...