mwathu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 403
- 210
mapenzi ya vijana siku hizi ni pasua kichwa sana, mara nyingi unapokuwa na msichana au mpenzi kwa muda mrefu huwa wana kawaida ya kujisahau na kuanza kuzingua, huwa hawajali, hawathamini wala kuona umuhimu wa wapenzi walionao na ikifika hapo mtu huona bora atafute mpenzi mwingine na akimpata yuko radhi kutangaza ndoa fasta.