Kwa nini wanaume wanaoa wanawake waliowajua Muda mfupi? Na wanawake pia

Inawatake how long kugundua cyo wife material? Every woman is a wife material as long as umeuse kitumbua na kuwa satisfied, ndo mana mie i dnt trust in the uchumba bullsh*t icant gv a man more than 2yrs of free ride....

2 years of free K!!!!!!!!!!? You gotta be shitting me!? Mi hizo 2 yrs hiyo provision ya K, u cant say its freee manake ina HEAVY CONDITIONS and VRY UNENCOURAGING ENVIRONMENT!!!!!!!!!!! Kwa mwezi mara 1 au hakuna kabisaaaa!!!!!!!! Hapo sijaongelea matengenezo na renovation CHARGES!!!!!!!!!!

He gets it when i feel like giving it not the other way round!!!!!!!!
 
Mpe pole mdada,kila likuepukalo lina kheri na wewe,soo afanye haikuwa bahati yake amuombe Mungu japo ni ngumu sn sn,na wanawake wengi siku hz pia wanatumia nguvu za giza,na wanaume wanapenda mteremko sn wa maisha hawapendi kuanza,Mimi ndo maana kwangu hakunaga i love u,ooh sijui kukutambulisha jmn huyu my boyfriend akuuuu mambo ya kudhalilishana sitaki kabisa na kutiana nuksi,

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Hakuna hata haja ya kumpa pole.., haya mambo siku hizi yamekuwa ya kawaida sana. Cha muhimu dada achukue ustaarabu wake na asonge mbele na maisha.., atapata wake wa 6 months then ndoa.

Jamani haya mambo hayana formula kabisa.., kama zamani mama zetu walikuwa wanachumbiwa kabla hata hawajavunja ungo.., siku hizi ni tit for tat.. Mwakutana.., mnadatishana.., ndani ya miezi 3 ndoa tayari.., ila pia ndani ya miezi 6 mifarakano kibao..., na kila mtu anachukua ustaarabu wake! Thus why ndoa za siku hizi zinaitwa YEBO YEBO!!
Have you ever asked yourself why..??!!
 
Hahaaaaaaaaaaaaa!!!! Yebo Yebo!!!!!!!! Duuuuuuuuuuh!!!!!!! NGOJA WENYE NDOA ZAO WAJE HAPA!!!!!!!!!! We huna ndoa eeh ndo maana hujui uchungu wake!
 
Cousin wangu alikuwa na girlfriend almost 5 years .Tulimpenda walikuwa wanapendana watu wote tulijua wataoana,suddenly Jana nasikia anaoa kwa mdada aliyekutana naye Kwenye ndege na amemjua for a month.kwa nini Mara nyingi wanaume au wanawake wanafanya hivi ?

There's no one grand formula when it comes to love. Billy Graham alimwoa mkewe marehemu Ruth Graham just after their 1st date na hawajaachana hadi mkewe alipokufa. Malcolm X alimwoa Betty Shabazz within weeks baada ya kuonana na hawakuachana hadi kifo.
Al gore alimwoa Tipper gore, walijuana for so many years toka wakiwa high school wakaoana na wameachana. Hakuna formula ya mapenzi, mnaweza mkakutana kwenye Subway, Path, Long Island Train ama hata kwenye treni ya Mwakyembe na makoana baada ya siku chache na mkapendana hadi kifo. Mnaweza mka-date for 5-7 years then mkaoana na kuachana baada ya muda mfupi.
Kwa hiyo huyo boyfriend wa cousin yako kuna alichoona huko kwengine na akavutiwa. He had to follow and listen to his heart, na nduguyo asisikitike sana kwani everything happens for a reason. Mungu atampatia mume mwingine.
I personally believe in love at first sight.
 
kumbuka huyo unayesema siyo wife material kwako anakuwa wife material kwa mwingine....... ngoma droo

hahaha wacha wale makombo yangu hahahaha. na demu ambaye sio wife material sio wife material tuu
 
Huyo cousin hajatulia na pia long term relationships they never work out at the final stage coz mnakuwa kama mmechokana vile...

5 years mnatafta nini coz kama hukuweza kumfahamu mtu wako for 3 years bas hutakaa umfaham maisha yako yote... Tuwe makini na haya mahusiano wengi wanapotezeana muda.. "SOMA ALAMA ZA NYAKATI"
 
SUALA HILI LA MAKOMBO INAMAANA DUSHELELE AKA SOUSAGE YENYEWE MDA WOTE NI MPYA TU? AU NDO MFUME DUME HUo MPAKA JF???????
 
Inawatake how long kugundua cyo wife material? Every woman is a wife material as long as umeuse kitumbua na kuwa satisfied, ndo mana mie i dnt trust in the uchumba bullsh*t icant gv a man more than 2yrs of free ride....
Kitumbua haki qualify mtu kuwa au kutokuwa wife material kuna siri huwa wanaume karibu wote tunayo na huwa tunajua this person is wife material or not na katika hili wanawake wameshindwa kuwasoma wanaume ndio maana malalamiko mengi sana huwa yanatoka kwa wanawake kuwa "wanaume wote baba yao mmoja"... kimsingi kila mwanaume akutanapo na mwanamke anajua kabisa "hapa natafuta kitumbua au I HAVE A LIFE PLAN"
 
Hakuna formula ya ndoa! mkipendana hata hamuwezi kuelezea unampendea nini mwenzio! you cant explain why! Ukipenda kweli huwezi kuelezea umependa nini.Muda wa uchumba pia hauna kipimo maana muda wa feeling+kujua mwenendo walau kama unaridhisha inategemea na mtu hivyo mkiamua kwenda mbali zaidi maana yake tayari hisia zimeridhika.
Hayo mengine baada ya ndoa ni elimu tu inahitajika kutokana na imani yako cha msingi ni kupenda kwa dhati.
 
Sorry jamani nimevamia MMU bila kubisha hodi kwanza ila nawasomaga sana tu!
 
ndosababu ndoa zinavunjika sana, kwa sababu is almost impossible wa miaka 5 asifae halaf wa mwezi mmoja awe material this is stupid

unawezaje kuona wa siku tano anafaa na wa mwaka mmoja asifae??? hakuna ndoa hapo ikifika mwaka hiyo ndoa itavunjika, itareflect ya yule alieonekana siomaterial.
 
2 years of free K!!!!!!!!!!? You gotta be shitting me!? Mi hizo 2 yrs hiyo provision ya K, u cant say its freee manake ina HEAVY CONDITIONS and VRY UNENCOURAGING ENVIRONMENT!!!!!!!!!!! Kwa mwezi mara 1 au hakuna kabisaaaa!!!!!!!! Hapo sijaongelea matengenezo na renovation CHARGES!!!!!!!!!!

He gets it when i feel like giving it not the other way round!!!!!!!!

Hehehe... duuuu..wewe kweli. kazi ipo
 
Back
Top Bottom