mimi huwa nazitumia....
sijui hayo matumizi yanaitwaje....Unazitumiaje?
Yupi??
hahaha nishamsikiaga huyo
shaban robert umesomaje pale?? Dingi wako alikuwa fisadi!
Kwa nini wanaume wana chuchu??
Viungo vyote tulivyo navyo vina kazi maalum,
lakini sijajua kwa nini men wawe na chuchu, nini kazi yake??
Kuamsha hisia zikitekenywa ipasavyo.