Kwa nini wanaume uwapiga wanawake?

Kwa nini wanaume uwapiga wanawake?

kwa sababu wanaume wanaowapiga hawana akili timamu.vurugu si njia muafaka kutatua tatizo kwenye ndoa.
 
Haya mambo hayana jibu moja.

Kupigwa kwa mwanamke hutokana na sababu na vigezo vingi vyote ambavyo hubebwa tokana na mwanaume mwenyewe (mpigaji) na mwanamke mwenyewe (mpigwaji).

Hasira na namna ya kutatua matatizo hutofautiana kwa kwanaume. Kuna wale ambao akikerwa unavunja vyombo, kuna anae peleka hasira kazini, kuna anae zielekeza kwake mwenyewe na kujilaumu kua na mwanamke kama huyo na kuna anae zipeleka kwa mkewe mwenyewe (kwa kumdunda).

Kumbuka pia kua hasira zimetofautiana. Kuna yule ambae akiwa na hasira uwezo wa kupima matendo huwa ndogo sana, sawa na akilewa, yaani yeye hu react mara moja na hujikuta tu kisha piga na baadae kujutia tendo la kupiga; ingawa wengine hufurahia na kuona ni sawa tu kupiga.

Ukija kwa wanawake ambao wanapigwa, wengi ana huonewa sababu tu hawana nguvu ya kujikimu kuto kupigwa na hali hapo hapo kuna wanawake wanamaudhi hata mwanamke mwenzie watamani umchape kama mtoto mdogo.

All in all nadhani kuwa makuzi, mazingira, malezi, Uwezo, mila na desturi ni maeno tuliyokulia huchangia sana mwanaume kuwa mpigaji ama kutokua mpigaji. Mwisho wa siku its not black and white - haina majibu ya moja kwa moja, kila case ina sababu zake.
 
Ili kutafuta heshima au nini?

Sio wanaume wote wanapenda kupinga wanawake.
Wanaume wanaopenda mamlaka, wawe juu na mwanamke chini ndio wanapenda kupinga mwanamke.
Na mara nyingi uzarauliwa na wanawake. Au utemwa mate na mwanamke.
 
Unaposema kuwapiga wanawake unamaanisha nini? Kama kumpiga mke basi nakuambia sikuhizi usipompiga mkeo kisawasawa basi kuna watu watampiga, hasa hivi vijana ninajiita bodaboda. Mi nampiga kinoma hadi anasema imekolea na kipigo ndio kinapunguzwa. Piga kama ni mkeo. kupiga ni heshima ila kwa upande wa kanga tu. ukipiga na ukashitakiwa kwa wazazi ujue unakosea upigaji
 
yaani wewe,nikawa najiuliza huyu
nani ana encourage violence kwa wanawake......

mwishoni nimejichekea tu
 
Unaposema kuwapiga wanawake unamaanisha nini? Kama kumpiga mke basi nakuambia sikuhizi usipompiga mkeo kisawasawa basi kuna watu watampiga, hasa hivi vijana ninajiita bodaboda. Mi nampiga kinoma hadi anasema imekolea na kipigo ndio kinapunguzwa. Piga kama ni mkeo. kupiga ni heshima ila kwa upande wa kanga tu. ukipiga na ukashitakiwa kwa wazazi ujue unakosea upigaji

Loh...... kumbe kama umemanisha hivyo sawa.
 
Kwa kule ukuriani wanaume wanawapiga wake zao ili kuwaonyesha kwamba wanawapenda na ikitokea mwanaume hampigi mke wake inakuwa kesi mwanamke anaweza kuondoka kurudi kwao kwa kuwa atahisi kuwa haumpendi
 
Thank you!!! In short it is unacceptable treatment of your fellow human being.

Only a pathetic gutless coward would ever raise his hand to a woman.

The strongest man knows how to control his anger without violence!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Unaposema kuwapiga wanawake unamaanisha nini? Kama kumpiga mke basi nakuambia sikuhizi usipompiga mkeo kisawasawa basi kuna watu watampiga, hasa hivi vijana ninajiita bodaboda. Mi nampiga kinoma hadi anasema imekolea na kipigo ndio kinapunguzwa. Piga kama ni mkeo. kupiga ni heshima ila kwa upande wa kanga tu. ukipiga na ukashitakiwa kwa wazazi ujue unakosea upigaji
Hahahahaha nilikua sijaelewa aisee.
 
Jamani wengine ni mabondia, kwahio inabidi ujitutumue au uoneshe kwamba wewe ndio zaidi hapo ndo amani itapatikana. Kwa baadhi ya wanawake kipigo ndo kinakuletea amani na heshima, ila kuna baadhi ni wapole sana kiasi kwamba ukiwapiga inaonyesha kwamba huna chembe ya huruma na hata uanaume wako unachuja..!! Maoni yangu ni kwamba iwapo mke wako si mpiganaji basi tafadhali usimpige hata kidogo, na wale mabondia wapigwe lakini kwa lengo kuleta heshima tu, wala haitakiwi kuwapiga maeneo ya usoni au kwenye mfumo wa uzazi, na uzito wa makombora ukisiwe isiwe kama unampiga kibaka....
 
Jamani mbona uzi una pande 2...hivi mtoa mada anazungumzia kupigwa kwa kutumia kiungo kipi cha mwili?......
 
Back
Top Bottom