Kwa nini wanaume uwapiga wanawake?

Kwa nini wanaume uwapiga wanawake?

Du huyo jamaa anazidi kuharibu, kwanza kalala nje alfu anamalizia na kichapo? mmmh. Kwa nijuavyo mimi ukishafanya mistake unatakiwa urudi na mood nzuri , full ma-story mpaka kila mtu anabaki anakusikiliza wewe, vizawadi vya hapa na pale, kama ulishaombwa hela kwa inshu flani halafu ukapotezea, hii ndio siku ya kumpa. Baada ya hapo msubirie kama atakuuliza chochote.
Mke hapigwi na marungu, fimbo, ngumi... anapigwa na maneno matam, ucheshi kidogo, uongo mtamu, pesa na fimbo yake ya nyama.
 
mw.mke ni mfupa wa ubavu mmoja ukiupinda sana utaukata na ukiunyoosha pia utaukata ,so ni busara zinahtajika mfanye km mtoto mdogo ,mwanaume ndie mchungaji
wa mwanamke
 
Back
Top Bottom