Kwa nini wanaume uwapiga wanawake?

Kwa nini wanaume uwapiga wanawake?

Biblia inasema tuishi nao kwa akili,kwenye ndoa kuna changamoto,m1 akipanda mwingine ashuke and viceversa mkipanda wote at the same tym hapo ndio kipondo utokea.
 
Kwa kule ukuriani wanaume wanawapiga wake zao ili kuwaonyesha kwamba wanawapenda na ikitokea mwanaume hampigi mke wake inakuwa kesi mwanamke anaweza kuondoka kurudi kwao kwa kuwa atahisi kuwa haumpendi

nadhani ilikuwa zamani, siku hizi hata wao wameamka hawataki kupigwa.
 
Wana jamvi habari zenu! Hivi kwanini wanaume wanapenda kupiga wake zao? Kaja mdogo wangu toka kwa mumewe amepigwa mwili mzma manundu kisa chenyewe eti kamuuliza kwanini umelala nje bila taarifa? Kaanza kumshushia kichapo! Jaman wanaume muache hizo tabia!
 
Effect za nyumba ndogo hizo loh! Lakin! Inawezekana na huyo mdogo wako hakutumia busara kumuuliza huyo mumewe atakuwa kamtukana na ndo mana kashushiwa kipgo muulize vizuri!
 
Kafungue mashtaka police...huyo si mume, mwanaume wa maana hampigi mkewe wala hapigi mwanamke.
 
Wanaume bwana!baada ya kumpiga na kumuumiza Ataanza kumbembeleza na ahadi kidogo.mwanamke nae anasahau kipigo maisha yanaendele.
 
Wana jamvi habari zenu! Hivi kwanini wanaume wanapenda kupiga wake zao? Kaja mdogo wangu toka kwa mumewe amepigwa mwili mzma manundu kisa chenyewe eti kamuuliza kwanini umelala nje bila taarifa? Kaanza kumshushia kichapo! Jaman wanaume muache hizo tabia!

Utawezaji kujaji wakati umeskia malalamiko ya ndugu yako tu! Kama kakudanganya, w/ke wengine wanafosi wenyewe wapigwe.
 
Huyo itakuwa alilala nyumba ndogo halafu bado akanyimwa uroda akarudi Nyumbani na hasira!
 
Wana jamvi habari zenu! Hivi kwanini wanaume wanapenda kupiga wake zao? Kaja mdogo wangu toka kwa mumewe amepigwa mwili mzma manundu kisa chenyewe eti kamuuliza kwanini umelala nje bila taarifa? Kaanza kumshushia kichapo! Jaman wanaume muache hizo tabia!
Wengine hiyo ndio swaga yao ya mapenzi ya dhati, hakika usiwaingilie watu hao kwani siku wakipatana utaumbuka. luku vere vere ishu za mapenzi.
 
Back
Top Bottom