Kwa nini wadada wazuri hawaoatinwaume bora....?

Hahahaaaaaaa! IT DEPENDS NA DEFIITIO YAKO YA MUME BORA!

Mimi mume bora wa ndani mnakndamiza maharage,kwa mchicha mwanzo mwisho, watoto vishule vya ajabu ajbu, ngo full kubana matumizi, huwezi hata kujitreat Galaxy Note 3 mume anavimbaaa, kisa mnajenga Mbezi, salasala na kinyerezi kwa mpigo, miduka kibaoo SIMTAKIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!!!!!! Mwanamke huna hata mia kwa jina lako bank. Kuvaa asante mchina daily. Aaaaaah! Kukopa kopa ilihali kabatini Tittle did 4 mnaown property! Looooh!

Mimi mwanaume hata tuwe tumepanga, takula vyuku 24/7, jioni tunatoka out, fashion zikiingia ananinunulia, watoto wako Genesis, full matreat ya gadgets za ukwee, kila mtu na dinga lake, anaijazia full tank, uwezo ukibadilika aanibadilishia ndinga, pesa za matumizi nachomoa tu kwenye droo, bank account pin naijuaaa, aaaaaaaaah! Hapo Baridaaaaaaaaaaaa! Nitamzalia hata watoto 4 japo pan ni 1. Nikipita mahali wanasema naam, HAKIKA BIBIE HUYU ANA MUME!!!!!!!!! JINSI ALIVO NG'ARING'ARI!!!!!!!!!! Japo akija mwenye nyumba tunapigana vikumbo kubana chooni. LOL! Pesa ikitosha tutajengaga tu!

To me A MAN IS ALL ABOUT HOW HE TREATS HIS WOMAN!!!!!!! Hata awe na nini kama mkewe anaishi ovyoovyo na waae nadharau mwanzo mwisho! CHARITY BEGINS AT HOME!
 
You got it all wrong.
 
Uzuri si penzi la dhati unless kama mtu umejaliwa vyote. Sasa in short hawa wazuri wanakosa penzi la dhati
 
Hahahaaaaaaa! IT DEPENDS NA DEFIITIO YAKO YA MUME BORA!

Mimi mume bora wa ndani mnakndamiza maharage,kwa mchicha mwanzo mwisho, watoto vishule vya ajabu ajbu, ngo full kubana matumizi, huwezi hata kujitreat Galaxy Note 3 mume anavimbaaa, kisa mnajenga Mbezi, salasala na kinyerezi kwa mpigo, miduka kibaoo SIMTAKIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!!!!!! Mwanamke huna hata mia kwa jina lako bank. Kuvaa asante mchina daily. Aaaaaah! Kukopa kopa ilihali kabatini Tittle did 4 mnaown property! Looooh!

Mimi mwanaume hata tuwe tumepanga, takula vyuku 24/7, jioni tunatoka out, fashion zikiingia ananinunulia, watoto wako Genesis, full matreat ya gadgets za ukwee, kila mtu na dinga lake, anaijazia full tank, uwezo ukibadilika aanibadilishia ndinga, pesa za matumizi nachomoa tu kwenye droo, bank account pin naijuaaa, aaaaaaaaah! Hapo Baridaaaaaaaaaaaa! Nitamzalia hata watoto 4 japo pan ni 1. Nikipita mahali wanasema naam, HAKIKA BIBIE HUYU ANA MUME!!!!!!!!! JINSI ALIVO NG'ARING'ARI!!!!!!!!!! Japo akija mwenye nyumba tunapigana vikumbo kubana chooni. LOL! Pesa ikitosha tutajengaga tu!

To me A MAN IS ALL ABOUT HOW HE TREATS HIS WOMAN!!!!!!! Hata awe na nini kama mkewe anaishi ovyoovyo na waae nadharau mwanzo mwisho! CHARITY BEGINS AT HOME!

Duh.....!!!
 
Hapa mimi naungana na wewe kwa jambo moja tu nalo ni "DEFINITION" ya mume bora!!!
Na mtoa maada kama hatojali atoe definition yake ya mume bora alafu tuanze kuchangia kutokana na definition yake.
 
I think hujamuelewa mtoa mada. Your contribution is besides the point.

It is PRECISELY on the topic. Ndo maana nikauliza DEFINITION YAKE YA MUME BORA NI IPI?

Nikaenda mbali zaidi kuelezea Kati ya Wanaume A na B mimi kwangu B NDO MUME BORAAAAA KABISAAA! Ila wengine wataona A NDO KILA KITU!

So kuna uwezekano yeye akaona HAWAJAPATA WAUME BORA kwa Assumptions na basis zake tu ila Mdada mwenye anaona MUMEWE NI BORA SANAAAA TU!
 
hili neno lipo kwenye kiswahili mkuu "hawaoatinwaume"
 
Wanawake wengi wazuri wanapata wanaume wa hovyo,walevi na wasiojali familia na pengine hawaolewi kabisaa lkn wanawake wa kawaida sana na pengine reception mbovu kabisa lkn wanaolewa na kuwa na familia zenye maadili na mafanikio na zaidi sana furaha na amani.....tuendelee kuchangia.
 
kichwa cha habari kimeandikwa kwa lugha gani?
 
Back
Top Bottom