Hahahaaaaaaa! IT DEPENDS NA DEFIITIO YAKO YA MUME BORA!
Mimi mume bora wa ndani mnakndamiza maharage,kwa mchicha mwanzo mwisho, watoto vishule vya ajabu ajbu, ngo full kubana matumizi, huwezi hata kujitreat Galaxy Note 3 mume anavimbaaa, kisa mnajenga Mbezi, salasala na kinyerezi kwa mpigo, miduka kibaoo SIMTAKIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!!!!!! Mwanamke huna hata mia kwa jina lako bank. Kuvaa asante mchina daily. Aaaaaah! Kukopa kopa ilihali kabatini Tittle did 4 mnaown property! Looooh!
Mimi mwanaume hata tuwe tumepanga, takula vyuku 24/7, jioni tunatoka out, fashion zikiingia ananinunulia, watoto wako Genesis, full matreat ya gadgets za ukwee, kila mtu na dinga lake, anaijazia full tank, uwezo ukibadilika aanibadilishia ndinga, pesa za matumizi nachomoa tu kwenye droo, bank account pin naijuaaa, aaaaaaaaah! Hapo Baridaaaaaaaaaaaa! Nitamzalia hata watoto 4 japo pan ni 1. Nikipita mahali wanasema naam, HAKIKA BIBIE HUYU ANA MUME!!!!!!!!! JINSI ALIVO NG'ARING'ARI!!!!!!!!!! Japo akija mwenye nyumba tunapigana vikumbo kubana chooni. LOL! Pesa ikitosha tutajengaga tu!
To me A MAN IS ALL ABOUT HOW HE TREATS HIS WOMAN!!!!!!! Hata awe na nini kama mkewe anaishi ovyoovyo na waae nadharau mwanzo mwisho! CHARITY BEGINS AT HOME!