John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
Panda daladala halafu kosaa kiti simama pembeni ya mdada tena wa heshima.... Wakati safari inaendelea mdada atajitahidi sana bega lake likuguse kwenye zip yako... Sjui wanatafuta kuguswa na nini ukisogea nyuma atajifanya Kakausha anasubiri gari iwatingishe ajisogeze tena kwako....
Mna maana gani nawauliza ?
Aaah wapi! Wakaka ndio wana hiyo tabia tena ukikaa vibaya utakuta wamesha kuchafua nyuma au wakat mwingine wanajifanya umembana sana mpaka anapeleka mkono kwa chuchu, hii tabia inabore sana kwakweli
Panda daladala halafu kosaa kiti simama pembeni ya mdada tena wa heshima.... Wakati safari inaendelea mdada atajitahidi sana bega lake likuguse kwenye zip yako... Sjui wanatafuta kuguswa na nini ukisogea nyuma atajifanya Kakausha anasubiri gari iwatingishe ajisogeze tena kwako....
Mna maana gani nawauliza ?
ndio maana tunautoa na kuwaachiahisia ni Mzigo!
Panda daladala halafu kosaa kiti simama pembeni ya mdada tena wa heshima.... Wakati safari inaendelea mdada atajitahidi sana bega lake likuguse kwenye zip yako... Sjui wanatafuta kuguswa na nini ukisogea nyuma atajifanya Kakausha anasubiri gari iwatingishe ajisogeze tena kwako....
Mna maana gani nawauliza ?
Sure mkuu."No reseach no right to argue" ngoja nifanye utafiti
"No reseach no right to argue" ngoja nifanye utafiti
Uyasemayo best ni ya kweli sometimes, nakumbuka kuna mwaka nilikuwa nimepanda daladala iliyojaa sana alafu ilikuwa ni late sana, basi kwasababu nilikosa siti nilisimama, na ili nisije anguka nilishika bomba, si akatokea mdada mmoja ana kalio kubwa balaa, akawa amesimama mbele yangu naye kashika bombo basi kila gari inaposhika brake au kupita sehemu mbaya ilikuwa nagongwa viungo vyangu vya uzazi na lile kalio, binafsi ile safari ilinifanya nimalize haja zangu zote, ikumbukwe ni kipindi kile nimemaliza form six tu na nililelewa katika misingi sahihi by then hata sikuwahi kumiliki Girl friend.
Kwahiyo unataka tukushauri ili uje useme watu wa JF walikwambia ufanye hivi na hivi...ingekuwa mimi ningemfanya ila nsingesema humu JF maana ningeonekana nina tabia mbaya.Umenikumbusha nilikaa siti moja na bint mmoja akaanza kusinzia mara mno wake akauweka kwenye goti, nikajua usingizi kadri safari ilivoendelea ule mkono ukazidi kusogea hakaribia na fraizi, mm pia ni lijali mara na mm mjongeo ukaanza sasa nikaona mm nazidi kuwa na hali mbaya nikajifanya kama najinyoosha akatoa akaniangalia usoni, nikajifanya nasinzia nayeye kasinzia papo hapo namkono kuuelekeza pale tena. Nilipo karibia kufika chalinze nikamwambia dada nakutakia safari njema huko dar, akanitazama usoni akaniomba namba ya sim nikampa, hadileo amekuwa ni rafiki yangu nimemtambulisha hata kwa mkewangu, hivh juzi aliongea na mkewangu kuja kutusalimia na hivi navoonge yupo. Je hawezi kuwa hatari kwa ndoa yetu maana sijui lengo lake,ila mrembo sana.ushauri