Hapa ni kwa magreat thinkers leta mada za maana. Ukirudia Ni-Ban inakuhusu!jamani mimi nafanya shunghuli mbalimbali kwa kushiriana na ndugu zetu wachaga
nimegundua wachaga wengi hasa wanaume hawajui kuongea,
maana yangu ni kwamba hawana uwezo wa kuongea kama watu wa pwani,
kwa wachache waliogundua hilo huwa wanakaa kimya mbele za watu,
lakini cha kushangaza hao hao wachaga wanatumia akili nyingi sana kuliko wale wanaojua kuongea,
kama mnajua hilo naombeni mnijuze zaidi
jamani mimi nafanya shunghuli mbalimbali kwa kushiriana na ndugu zetu wachaga

action speaks louder than words na ndo mana wengi sio ccm coz wale wanapiga kelele tu action empty set{ }
jamani mimi nafanya shunghuli mbalimbali kwa kushiriana na ndugu zetu wachaga
nimegundua wachaga wengi hasa wanaume hawajui kuongea,
maana yangu ni kwamba hawana uwezo wa kuongea kama watu wa pwani,
kwa wachache waliogundua hilo huwa wanakaa kimya mbele za watu,
lakini cha kushangaza hao hao wachaga wanatumia akili nyingi sana kuliko wale wanaojua kuongea,
kama mnajua hilo naombeni mnijuze zaidi
Kwanza badili jina we si Topthinker bali topstinker, umegundua wanaume hawajui kuongea ni kwakuwa we mbaya ungekuwa mzuri wangeongea nawe,hawaongei kama watu wa pwani kwakuwa wao sio watu wa pwani,alafu umeshasema wanaoongea sana hawana akili kama hawa wakimya kwahiyo afadhali uwe mkimya.jamani mimi nafanya shunghuli mbalimbali kwa kushiriana na ndugu zetu wachaga