kwa nini wachaga wengi hawajui kuongea

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,889
3,412
jamani mimi nafanya shunghuli mbalimbali kwa kushiriana na ndugu zetu wachaga
nimegundua wachaga wengi hasa wanaume hawajui kuongea,
maana yangu ni kwamba hawana uwezo wa kuongea kama watu wa pwani,
kwa wachache waliogundua hilo huwa wanakaa kimya mbele za watu,
lakini cha kushangaza hao hao wachaga wanatumia akili nyingi sana kuliko wale wanaojua kuongea,
kama mnajua hilo naombeni mnijuze zaidi
 
Hapa ni kwa magreat thinkers leta mada za maana. Ukirudia Ni-Ban inakuhusu!
 
nimebahatika kuishi mikoa zaidi ya sita hapa bongo na nimeishi na makabila tofauti mengi saana tu. watani zangu wafipa wanyamwezi wahehe wasukuma wahyao na sisi wenyewe nyumbiii mbombiiii na kwa ujumla wetu sote bongo lafudhi ya lugha zetu za makabila yote hufanya uongeaji wa kiswahili uwe mgumu. watani zangu sukuma tribe ndo kabsaaa mbaya zaidi WAHA tena hawa licha ya kuwa watani wangu ni shemeji zangu vile vile wakitia we mama wachaa hahaaaaaa utapenda ni wabishiiiiii kama umezaliwa mjini ukakulia mjini ukabahatika kuikosa lafudhi ya kwenu basi kiswahili utajivunia nacho na kujiona unajua kiswahili sana lkn wachaga wanaongea sana na wanastori balaaa. aisee mangi huyu jamaa anawatania eti hamjui kuongea
 
Ndugu yangu unajaza server tu humu,kwani haujipangi kuandi uzi mkuu?
 
jamani mimi nafanya shunghuli mbalimbali kwa kushiriana na ndugu zetu wachaga
nimegundua wachaga wengi hasa wanaume hawajui kuongea,
maana yangu ni kwamba hawana uwezo wa kuongea kama watu wa pwani,
kwa wachache waliogundua hilo huwa wanakaa kimya mbele za watu,
lakini cha kushangaza hao hao wachaga wanatumia akili nyingi sana kuliko wale wanaojua kuongea,
kama mnajua hilo naombeni mnijuze zaidi

action speaks louder than words na ndo mana wengi sio ccm coz wale wanapiga kelele tu action empty set{ }
 
muda mwingi huwa tunafanya mahesabu ya pesa kimya kimya moyoni hivyo basi ukianza kuongea ongea hovyo hovyo basi unachanganya mahesabu ya pesa

wapo makini
 
jamani mimi nafanya shunghuli mbalimbali kwa kushiriana na ndugu zetu wachaga
nimegundua wachaga wengi hasa wanaume hawajui kuongea,
maana yangu ni kwamba hawana uwezo wa kuongea kama watu wa pwani,
kwa wachache waliogundua hilo huwa wanakaa kimya mbele za watu,
lakini cha kushangaza hao hao wachaga wanatumia akili nyingi sana kuliko wale wanaojua kuongea,
kama mnajua hilo naombeni mnijuze zaidi

Pesa inaongea..
 
Kwanza badili jina we si Topthinker bali topstinker, umegundua wanaume hawajui kuongea ni kwakuwa we mbaya ungekuwa mzuri wangeongea nawe,hawaongei kama watu wa pwani kwakuwa wao sio watu wa pwani,alafu umeshasema wanaoongea sana hawana akili kama hawa wakimya kwahiyo afadhali uwe mkimya.
Unataka ujuzwe nini na umeshamaliza kila kitu na kuonyesha maneno mengi hayana tija ? we endelea kunywa kahawa/kashata/tangawizi hapo kijiweni na msuli wako achana na hawa shemeji zangu sawa ?
 
Mchagga haongei hovyo hovyo, anaarrange cha kuongea kichwani mwake kwanza, ndipo aongee.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom