Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,651
Suala ni kupeleka watoto wetu shule bora hasa za seminari in twenty years or so watafika hapo haya maneno tuache jamani tanzania yetu tutaivuruga jamani.
Kwa hiyo unataka kusema kumbe ubora wa shule mtu aliyosoma ndo unapelekea mtu kupata first priority katika kupewa vyeo? Au unataka kusema shule za seminary ni bora sana kuliko shule zote duniani? Sasa nataka nikuulize swali...Kwani wakati wa kuajiri mtu wa digrii wanaangalia background ya mtu alipokuwa sekondari? Maana hoja hapa ni elimu ya juu na si elimu ya sekondari. Sasa labda uje na hoja kwamba vyuo wanavyosoma wachagga ni tofauti na vile vyuo wanavyosoma makabila mengine. Yaani wachagga wanasoma katika vyuo bora wakati sisi tunasoma katika vyuo vya elimu chini ya kiwango ili ithibitike kwamba wao pekee tu ndo wanastahili kupata kazi nzuri maana wana elimu kupita watu waliosoma katika vyuo visivyo na ubora. Wachagga wao wamesoma katika vyuo gani ambavyo sisi hatujasoma?
Hebu nipe ukweli kati ya vyuo vifuatavyo kipi ni bora kuliko mwenzake? Labda watakuwa wamsoma katika chuo kimojawapo kati ya hivi ndo maana sisi tunabaguliwa kwa vile hatujasoma kwenye vyuo hivyo....
Unibersity of Sydney |
London University |
Birmingham University |
Kenyatta University |
Sokoine University of Agriculture |
Makerere University |
Kingston University |
University of Strathclyde |
University of DSM |
Mzumbe University |
Institute of Finance Management |
Ardhi Institute |
Mkwawa University |
Institute of Accountancy Arusha |