Ndo mada inavyosema?? Halafu mnasema wachagga mna IQ kushinda wengine?? Nonsence.......Mada inasema (ubaguzi+ uchagga) katika kupandisha vyeo!!!! Wewe unarukia kitu ambacho hakipo kabisa. Umeshindwa kuprove vitu vifuatavyo:
1. Wachagga hamna ubaguzi na kwamba uwingi wenu unatokana na kusoma tangu zamani (eti) pamoja na IQ. Majibu ambayo umeshindwa kuprove. Ungetaka kujibu hoja ungesema (with examples) hizo idara zinazolalamikiwa kwamba hamna ubaguzi. Ungeanza ku-mention idadi ya watu (japo wachache) wa makabila mengine wenye vyeo despite uwingi wenu. Kwamba pamoja na uwingi lakini kuna makabila machache nayo yanawatu wenye vyeo vikubwa. Mfano fuulani (na cheo chake) na fulani (na cheo chake). Lakini hilo umeshindwa kulifanya bali umeishia kutunga hoja yako irrelevant to the topic in discussion.
2. Kwamba kama kusoma siku hizi (na siyo kusoma zamani kama defensive mechanism iliyotumika) watu wote siku hizi wanasoma tena katika vyuo bora kabisa duniani. Lakini cha kujiuliza kwa nini vyeo ni wachagga tu???? Ungetoa maelezo ya kina na si ku ji-defend kwa kusingizia kusoma zamani. mfano kijana wa miaka 27 wa kichagga utamteteaje kwamba yeye kapanda cheo kisa amesoma zamani? Zamani ipi hiyo wakati amemaliza na vijana wenzake lukuki tu lakini yeye baada ya miaka miwili mitatu unakuta amepandishwa ngazi haraka kushinda wenzake? Hoja ya IQ, Management By Objective (MBO), Leading by Example na ability to organize factors haiwezi kuwa kigezo kinachomlenga mtu mmoja tu wakati vyuo, mitaala na nchi alizosoma ni the same na hao wengine wasiopandishwa cheo kama yeye? Kwa nini mchagga tu? In maana yeye ana talent ya kipekee inayohusu mambo ya vyeo tu? Ungejibu hayo ingekuwa umeonesha proifessionalism.
so when one tells you walikua wamejipanga ktk suala la elimu usishangae ni facts.The New York Times where an investigative journal done by the same magazine showed among many things they had over 16 schools and 19 hospitals and a budget of btn $6m to $8m all this back in 1958
wewe fanya kazi stil wondering how a great thinker can be so weak to lament kwan wanaopandishwaga vyeo ni wachaga tu work hard banaa unajiaibisha nani asiye jua chagga people work so hard na wana njaa ya maendeleo just compare wewe na mchaga hauoni aibu?mwenzio anafanya kazi wewe upo huku unapiga majungu tubadilikeni jamani
zaidi ya 75% ya viongozi wa chama kile ni wachaga
Hospitali ya Mkoa Morogoro: Mganga Mkuu wa mkoa ni Mchaga, Mganga Mkuu wa Hospitali ni Mchaga, Mhasibu wa Hospitali ni Mchaga, Bwana Afya wa Mkoa ni Mchaga, Mratibu wa TB ni Mchaga, Mratibu wa Malaria ni Mchaga, Mfamasia wa Mkoa ni Mchaga, Mratibu wa Ukimwi ni Mchaga, Muuguzi mkuu wa Mkoa ni Mchaga, Dakatari wa Meno wa Mkoa ni Mchaga......vp niendelee. Anaye bisha aseme nitaje na majina yao na mahali wanapo toka Kilimanjaro. MTOA MADA HATA KAMA HAJUI KUANDIKA LAKINI UJUMBE WAKE NI SAHIHI KABISA. WACHAGA NI JANGA TANZANIAMfano:
Jeshi la police: 80% ya RPC NI WACHAGA
CRDB: 75% YA BRANCH MANAGER'S TANZANIA NI WACHANGA
ONGEZEA!!!!!!!!!!!!!!!!
Wachagga tuna nini kila lawama mnaturushia.
Wachagga tuna nini kila lawama mnaturushia.
Try to be reasonable instead of lashing out into others comments heads on not focusing on the issues. I can see the narrative in your comments its the hatred and collective judgement on chaggas :
1)sijui unajuaje kabila langu kama mie ni mchagga au la. Pia sijasema wachagga wana iQ kuliko watu wengine wote. Nilochosema ni historical fact shule nyingi zilijengwa huko and in an earlier posts I quoted NY times bonyeza link hii so when one tells you walikua wamejipanga ktk suala la elimu usishangae ni facts.
katika ajira your syllogism is that 'sasa kila mtu amesoma kwanini wao pekee wanapewa hiki na kile...." well there is a fallacy there friend, kwanza sio kweli madai yako kwamba ni wachagga pekee ndio wanapandishwa vyeo. Na kama tukivyosema wengi wao walitangulia kupata elimu (ni fact) mchukue mkurugenzi wa kawaida most of them may be having having 20+ to 30 years of experience na hata hao wanagombaniwa na mabenki yetu and the same goes for managers wengi wana uzoefu. Hatahivyo kwasasa wakurugenzi wengi si wachagga kama inavyosemwa mf. Rama Dau nssf director, nbc ex director mafuru, nhc mchechu na wengine bofya hapa uone list ya ma CEO wakubwa kabisa tanzania alafu utueleze wachagga ni wangapi hapo :
http://www.ceo-roundtable.co.tz/members.html
kuna mawaziri wangapi unawajua wachagga? kuna wakuu wa mikoa au wilaya wangapi unawajua wachagga?
Huko wanapopanda vyeo kwa haraka ni wapi unaweza onesha kwa data au ni shutuma zilizojaa chuki tu.
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe. Waulize walete data watakutajia watu watano katika tawala yenye watu mia alafu hawakupi list nzima ni % za kutunga pamoja na porojo . Mwambie mtu akuletee list nzima nzima za wajumbe bodi za mashirika ya umma utaona wachagga walivyo wachache katika appointment posts ila katika nafasi za kuajiriwa kwa merit hiyo habari nyingine.
Uyu jamaa kapost utumbo apa, ndugu kifunze basi ata kuandika kwakuzingatia vituo, maana ulivyo andika nikama ulikuwa unasinzia.
tunapoelekea si kuzuri na vyeti vyao vilikuwaje? vimewaruhusu kufanya kazi hapo au?List ndo hiyo umepewa kwenye namba 206!!!!! Unasemaje kwa hapo????
Usije ukajifanya huioni..... Hii hapa kama ilivyoletwa na THE GREAT CAMP
Hospitali ya Mkoa Morogoro: Mganga Mkuu wa mkoa ni Mchaga, Mganga Mkuu wa Hospitali ni Mchaga, Mhasibu wa Hospitali ni Mchaga, Bwana Afya wa Mkoa ni Mchaga, Mratibu wa TB ni Mchaga, Mratibu wa Malaria ni Mchaga, Mfamasia wa Mkoa ni Mchaga, Mratibu wa Ukimwi ni Mchaga, Muuguzi mkuu wa Mkoa ni Mchaga, Dakatari wa Meno wa Mkoa ni Mchaga......vp niendelee. Anaye bisha aseme nitaje na majina yao na mahali wanapo toka Kilimanjaro. MTOA MADA HATA KAMA HAJUI KUANDIKA LAKINI UJUMBE WAKE NI SAHIHI KABISA. WACHAGA NI JANGA TANZANIA
wanapendeleana sana hao mkuu,na mkiruhusu mchaga siku moja achukue nchi,mtakiona cha mtema kuni.
Mwl.nyerere aliliona hili kwa jicho la tatu we fuatilia...
shortly ni wabaguz
tunapoelekea si kuzuri na vyeti vyao vilikuwaje? vimewaruhusu kufanya kazi hapo au?
Acheni ubaguzi wa kikabila (Tribalism). Kama wewe ni Mkurugenzi wa Taasisi fulani, basi toa equal opportunity kwa qualified candidates wa makabila yote.
wanapendeleana sana hao mkuu,na mkiruhusu mchaga siku moja achukue nchi,mtakiona cha mtema kuni.
Mwl.nyerere aliliona hili kwa jicho la tatu we fuatilia...
shortly ni wabaguz
Wachagga tuna nini kila lawama mnaturushia.
...kosa letu ni kusoma, kuelimika na kufanya kazi kwa bidii hata kwa wale wachagga ambao hatukusoma tunajua "kuchakarika".....