kwa nini unatumia nick name au a.k.a

kwa nini unatumia nick name au a.k.a

Joined
Jul 25, 2012
Posts
24
Reaction score
2
hi kwa nini tusingekua tunandika majina yetu yote yani ful name na cyo a.k.a kama unaitwa Mbaga Tamambele basi uandike lote na siyo unfpsha mara eg (M de t-a.k.a ya Mbaga Tamambeke ) kwa nini iwe majna mengne na siyo la asili lako bnafsi!?
 
Bishanga ni neno tu halina madhara ata wewe naweza sema nime ku miss kipindi ulipo kuwa rwanda!
We nae sasa unajitafutia matatizo,unawa miss wake za watu?
 
mh, nahc ni vionjo binafsi tu vya mhusika............
 
Back
Top Bottom