Kwa nini unakuwa huru na mchepuko?

Kwa nini unakuwa huru na mchepuko?

Mwanaume mmoja kwa mke mmoja is not a law of nature. Ni utaratibu uliowekwa na wachache,sio lazima tuufate.
 
ni kutojitambua na kutomuogopa mungu ndiko kunapelekea hayo yote,mwanaume bila mchepuko anaona hajakamilika na wadada tunaona ndio fashion otherwise what goes around comes around malipo huwa ni hapa hapa dunia,usichopenda kutendewa usimtendee mwenzako
 
Na stress za kazini+ nyumbani nisiwe na mchepuko! Kwanza ukitoka na ma msapu unakuwa hauko free kama ukiwa na mchepuko. Soooo gud
 
eti nyia kuu ina jam.........mara oohh njia kuu rough tupu namimi nataka kitu soft....mara oohh unamjua mwajuma mara vilikwenda vikarudi.....wee chepuka tuuu mi hata nijue sikuulizi ng'ooooooooooooo.....
 
jifanye chetu tu eti cha mtu uliwa na mtu ndo apo utakapokula pasipolika ...utaisoma nmbr japo kmy kmy

Afu sku izi wanawake walioolewa wanajua kuloga ile mbaya! Akipata ata picha yako tu utaisoma namba Kama tasa au shufwaa
 
Afu sku izi wanawake walioolewa wanajua kuloga ile mbaya! Akipata ata picha yako tu utaisoma namba Kama tasa au shufwaa

Unafkr mpk pcha best??mbn rahs tu atajishangaa ananuka K.u.m.a mpk anajiogopa mwnyw tuone km uyo mme wa mtu atachepuka nae tn
 
Unafkr mpk pcha best??mbn rahs tu atajishangaa ananuka K.u.m.a mpk anajiogopa mwnyw tuone km uyo mme wa mtu atachepuka nae tn

Nimecheka kwa nguvu hadi mwanangu kanishangaa
 
No need of private....michepuko sio dilii. ....Tuheshimu ndoa ....ni tendo takatifu... ....

Wewe wasema ndugu hao wafuasi Wa michepuko hawalijui hilo wameshahalalisha haramu kuwa halali
 
Back
Top Bottom