Kwa nini unakuwa huru na mchepuko?

Kwa nini unakuwa huru na mchepuko?

Hata nikiwafunda jinsi ya kuwafanya wake/waume wasichepuke ni kazi bure!Nia yangu wajue kuchepuka na watu wao in private na sio kila mtu awaone hata wale wanaowaheshimu. Kwa mchepukaji mzuri, kama anaishi Tegeta basi ataenda kufanya mambo yake na mchepuko huko Mbagala ambako at least ana uhakika hakuwa nawaomjua wengi

Kama huwezi kuzifunda njia kuu, basi hata kuifunda michepuko kushow love pia huwezi...love z just a beautiful thing....
Penzi kikohozi...kikikubana hata mahakamani unabanja...ndo itakuwa kupigana kiss harusini?

Na ukiona mwanaume anajiachia hivyo na mchepuko ujue home ndoa is too cold, kajipanga kwa lolote....

Mwisho kila mtu na maisha yake, kiatu alichovaa mwenzio hujui kinambanaje......!
 
Ushauri wangu kwenu wenye tabia kama hizi, please do it in private walau watu wanaowaheshimu wasione uchafu wenu! Kama utaona kunaulazima wa kuwa nae in public kama vile harusini ni heri mkaonesha heshima basi ili kujitunzia heshima mbele eza watu wanaowafahamu!

Hapo juu mi nashauri ni bora wakaacha kabisa ....
Maana mapenzi huwa sijui ni kitu gani, hayana siri, iko siku tu wapenzi watajisahau na mambo kuvuja. Madhara yake nafikiri kila mtu anayafahamu; kufumaniwa kupigwa, talaka, ugomvi, kuambukizana magonjwa nk
 
Hawashauriki nduguyangu na hawawezi acha michepuko. Bora wakafanya kwa heshima
 
Back
Top Bottom