Kwa nini unakuwa huru na mchepuko?

Kwa nini unakuwa huru na mchepuko?

No need of private....michepuko sio dilii. ....Tuheshimu ndoa ....ni tendo takatifu... ....

swadaktaaa....!! mkeo ni mkeo tu hata akukoseaje mrekebishee sasa wanavochepuka ndio wanasovu tatizo???? kwa muda fulani wanasahau hizo shida infact tatizo li palepale...kuchepuka is not solution kwakweli...
 
Afu sku izi wanawake walioolewa wanajua kuloga ile mbaya! Akipata ata picha yako tu utaisoma namba Kama tasa au shufwaa

Kama mlogaji angemloga mumewe asichepuke...mikwara tu hiyo...
 
Unafkr mpk pcha best??mbn rahs tu atajishangaa ananuka K.u.m.a mpk anajiogopa mwnyw tuone km uyo mme wa mtu atachepuka nae tn

Kwani hiyo kuroga sh ngapi? Me ukiniroga revenge yangu sikunukishi ku.m.a wala nini, me namloga mumeo ahamie kwangu kabisaaaa, we si unaogopa kumloga....!? Mwaga mboga nimwage ugali....
 
ye mwenyewe hajiamini... nguvu hana. Mchepuko climax mara mia saba per hour
 
Endelea ivyo ivyo ila siku utakapoharibiwa reception yako ndo utajua kuheshimu ndoa za watu! Imagine upo harusini na mume wa mtu, kumbe humomhumo kuna anaemjua mwenye mume, as you know na hii technology bibi anatumiwa picha yako unajichetua na mume wake, akiwa mlokole atamuachia Mungu akiwa mcharukoanakuchemshia maji au anakutafia tindikali!Shauri yako

Kama anampenda kweli Mumewe si amtulize asiruke ruke, maji ya moto au tindikari sio suruhisho.
 
Kama anampenda kweli Mumewe si amtulize asiruke ruke, maji ya moto au tindikari sio suruhisho.
Hujasikia kwamba mwanaume hata umpe ....... akiamua ameamua!Tatizo liko kwa mwanamke, una uwezo wa kukataa kama unajua ni mume wa mtu. Pale unapofanya makusudi kutembea na mume wa mtu ndo tindikali na maji ya moto yatakapokuhusu
 
hawaon wenzao hd mafuta ya moto kamwagiwa
 
Mwanaume mmoja kwa mke mmoja is not a law of nature. Ni utaratibu uliowekwa na wachache,sio lazima tuufate.

Umetisha mkuu...yote hii ili kuhalalisha michepuko! Angalia tu ukija kuvaa nepi sisi hatupo
 
Umetisha mkuu...yote hii ili kuhalalisha michepuko! Angalia tu ukija kuvaa nepi sisi hatupo

Kuwa na mchepuko ni suala moja,kutumia kinga ni suala lingine.

Nepi unaweza ukazivaa tu hata ukibaki njia kuu.
 
Ebola nakufa fasta ukimwi unakutesa mda mrefu

Duh hiki ki simu changu kinanichelewesha kupata notification. Ok ukimwi unakupa hata nafasi ya kusomesha watoto angalau wasogeze vidato mbele kama sio vyuo kabisa, lakini Ebola duh!, unaweza kosa hata muda wa kupigia simu uwapendao. Mateso ya ukimwi ilikuwa zamani.
 
Kwani hiyo kuroga sh ngapi? Me ukiniroga revenge yangu sikunukishi ku.m.a wala nini, me namloga mumeo ahamie kwangu kabisaaaa, we si unaogopa kumloga....!? Mwaga mboga nimwage ugali....

hahaa ht akiamia unafkr utakua na aman nae koz akiskia kiharufu chk tu hamu ya kudu kushnei hahaaa unafkr juju la kunukishwa K ni dogo best ??yn inanuka hd wa pemben yk anaskia unafkr akil ya kufanya reveng kwnz utaipata???hahaa hpn chezea hy kitu
 
Back
Top Bottom