Najua neno langu sio sheria, siwezi wakataza msiwe na michepuko. Ila wewe mwanamke ambae umefanywa mchepuko na mume wa mtu, kwa nini unajiachia tu na mume wa mtu bila aibu? Ni heri uwe hujui kama wewe ni mchepuko lakini unajijua kabisa status yako afu unatoka na mume wa mtu tena in public as if wewe ndo mkewe!!Nawe mwanaume unajua kabisa we umeoa tunamjua mkeo na wanano pia, unatoka in public na mchepuko kwa nini?Unaonesha picha gani?
Nimeshuhudia hili kwenye harusi fulani, mtu kaalikwa ana kadi ya Mr & Mrs. Mkewe maskini sjui anaumwa au kasafiri sjui!Kabeba mchepuko huyo kaja nae harusini, mbaya zaidi wanaonesha kabisa ni wapenzi!Ni aibu jamani hasa unapofanya haya mbele za watu wanaokufahamu wewe na familia yako!
Ushauri wangu kwenu wenye tabia kama hizi, please do it in private walau watu wanaowaheshimu wasione uchafu wenu! Kama utaona kunaulazima wa kuwa nae in public kama vile harusini ni heri mkaonesha heshima basi ili kujitunzia heshima mbele eza watu wanaowafahamu!
Michepuko sio dili, epuka UKIWMI NA HOMA YA INI.
Mwenye masikio asikie.
Nilikuwa na amini kama wewe ila baadae ikajajua kuwa mchepuko ni dili. Mke unauombamwnde kenye harusi wk mbili kabla siku ilipofika mke kachomoa kwenda. Kuna siku kagoma kuhudhuria harusi ya mdogo wangu nikaenda mwenyewe. Saasa kwa nini nisitafute mchepuko kwa outing.
Hongeren wenye michepuko kama mimi kwani home ni stress za kufa mtu. Na mkinshambulia nitahalalisha mchepuko wangu kwani unanijali kaama tumefunga ndoa.