Kwa nini ufike hatua ya kutafuta wa mtandaoni????????

BUCHANAGANDE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,512
Reaction score
482
Nimekuwa nikijiuliza mara kadhaa swali ni kwa nini mtu afikie hatua ya kutafuta mwanaume au mwanamke mtandaoni.
Kwamba utawezaje kumudu mpenzi wa mtandaoni wakati umeshindwa kumpata kanisani/msikitini, shuleni, chuoni, club, mtaani kwenu, baani au ofisini ambako unayemtaka utamwona uso kwa uso na mtu anashindwa hadi kupelekea kutafuta wa mtandaoni ambaye hujawahi hata kuonana naye????? Au hawa wa mtandaoni ni WAGEGEDAJI NA WAGEGEDWAJI?
Naomba msaada wenu wadau.
 
hao walioko mashuleni na makanisani ndo hao wanakuja mtandaoni..Usipokaa vizuri utatapeliwa popote.Dunia inabadilika
 
Kwani sheria ya mapenzi inasema atafutwe wapi?

Na ni ibara ya ngapi kwa ajili ya riferensi.
 
kumbe hawa wa mtandaoni tunaoegeda ndio wanaokuwepo club kanisani maofisini....mhm kweli kazi ipo. mke kweli tutapata
 
MAMBO YA DIGITALI HAYO MJOMBA! We baki analogia tu!
 
Naamini majibu yatapatikana hapa hapa. Wale mlio na case studies jitokezeni tuokoe jahazi.
Wengine WANASEMA wamebwagwa na wapenzi wao then wanakuja Jf kuponea maana siku hizi kuoa au kuolewa ni DILI kumbe danganya toto, ukigusa tu kwishnei.
 
hao walioko mashuleni na makanisani ndo hao wanakuja mtandaoni..Usipokaa vizuri utatapeliwa popote.Dunia inabadilika

Umemjibu vizuri, leo niko fbook, jf n.k, kesho ndo mie mie utakutana na mie njiani, kanisani, club, bar n.k bila tu kujua kwamba ndio mie yule yule niliye comment kwenye thread yako! mapenzi hayana msahafu baba/mama
 
Naamini majibu yatapatikana hapa hapa. Wale mlio na case studies jitokezeni tuokoe jahazi.
Wengine WANASEMA wamebwagwa na wapenzi wao then wanakuja Jf kuponea maana siku hizi kuoa au kuolewa ni DILI kumbe danganya toto, ukigusa tu kwishnei.

Hapa mtandaoni kuna watu wa kuaminika na wakujiheshimu kabisa na pia wapo watu wasi wasi a.k.a kizunguzungu. Mimi nina ushuhuda wa mtu niliyekutana nae online na sasa hivi ni rafiki mzuri tu, mwenye heshima zake na ananiheshimu. ni rafiki tu kwa sasa ila Mungu akionesha njia ya yeye kuwa mme wangu naona ni vyema tu ili iwe ushuhuda kwangu kwamba popote ni mahali sahihi pa kukutana na umpendae na mkaishi kwa amani. Hata pale jolly club na ohio kama wako yuko pale ndo waweza mpata katika mazingira yale yale ya kujiuza na mkapendana mka-make future
 
waambie kuwa ni mimi natarajia kukuwowa
 
Kuna mmojawapo leo ametoa feedback (mrejesho) kuwa Jf imempa Binti, akimanisha amepata mke, so it possible ila umakini na dhamira safi vinahitajika kufanikisha.
 
me nimejipatia zombie ona anavyojishtukia
 
Logic yangu ni kwamba kama ndiyo hao hao wa kanisani au hapo penginepo ulipopataja, kwa nini usiwaone huko mpaka ukaja mtandaoni?? Wachache ndo wamenielewa kidogo. Wengi wenu naona bado hamjanielewa but mnakaribia kunielewa na mmtanielewa muda ukifika.
 
Back
Top Bottom