Kwa nini ufike hatua ya kutafuta wa mtandaoni????????

Kwa nini ufike hatua ya kutafuta wa mtandaoni????????

nimepata mke mtandaoni. Hatuna tatizo hadi sasa ila ilituchukua 5 yearz hadi kuoana
 
Mpenz wa kweli unaweza kumpata popote, kanisani,mtandaoni,msikitini,chuoni,sokoni. Popote pale Mungu alipopanga. Si kweli kwamba eti ukimpata mpenz mtandaoni basi anakuwa si mpenz wa kweli. Unaweza ukatafuta mpenz kanisani na bado ukapata kimeo.jambo la maana ni kumwomba Mungu ili mtu upate mwenzi mwema!!!
 
tuliopo kanisani na msikitini
ndio akina sisi huku so haina
noumer!na wewe jaribu uone kama
hujapata mke/mume bora toka kwa mtandao!

 
Back
Top Bottom