KWA NINI TUNUNUE MAGARI YALIYOTUMIKA JAPANI KWA BEI (forex) YA MAGARI MAPYA mfano ya INDIA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KWA NINI TUNUNUE MAGARI YALIYOTUMIKA JAPANI KWA BEI (forex) YA MAGARI MAPYA mfano ya INDIA?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Dr-of-three-Phd, Jun 30, 2011.

 1. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau/waheshimiwa wabunge/mawaziri wetu/wakurugenzi wetu/na wenye nyadhifa za maamuzi mazito ya kuijenga nchi hii, naomba msaada hapa,

  Kuna haja ya kununua magari yaliyotumika Japani kwa bei ya magari mapya mfano ya India? Ilihali baada ya miezi sita unaanza kununua vipuri vya kubadirisha, tu kwa sababu vimeshakwisha?

  Kuna haja hiyo kweli hali uchumi wetu hauruhusu kabisa kutumia vibaya hela zetu kwanza kwa kununua kwa kuagiza nje (forex) magari yaliyokwishatumika kwa bei ya mapya (magari Mbadara mfano ya India:Indicar au Mahindra), ambayo mapaka ununue vipuri ni mapaka unasahau kama ulinunua mwaka gani, kwa kuwa kwanza yanatengenezwa yatumike kwenye nchi za ulimwengu wa tatu tofauti na Japani magari mengi yalitengenezwa kwa mazingira ya kwao.


  Pili, kama nchi haioni haja ya ku-retain pesa zetu (zinazotolewa nje kwa mradi wa spare zinazotakiwa muda mfupi baada ya mtu kununua gari linalosemakeana jipya?

  Tatu, ni lazima turuhusu magari yaliyotumika tena kutoka Japani tu? au ndiyo tu yanayouzwa bei nafuu duniani?, Je hakuna nchi nyingine inayozalisha magari yakiwa mapya na kuuzwa yakiwa mapya kwa bei nafuu kama haya tunayoyaabudu yaliyokwishatumika ya Japani?


  Nawakirisha

  Aluta Continua!
   
 2. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Mzee hakuna anayelazimishwa kununua gari lililotumika iwe Japan au Afrika Kusini.
  Unaruhusiwa kununua gari hata kama ni Marekani cha msingi uwe na kisu kikali kulifikisha huku.

  Nadharia yako ni ngumu sana kufanya kazi ktk mazingira ya soko huria ambapo taste ya mlaji ndio kigezo kikuu.
  Kwa namna gani utalinganisha Mahindra na Harrier, Indicar na Land Rover waendesha magari watakwambia.

  Japan wana-supply magari hadi kwenye masoko makubwa kama Ulaya na Marekani kwa hiyo usipate pressure bure ndio International trade yenyewe hiyo uloisoma darasani.
  Ila kama unataka gari ya bei nafuu nadhani China wanaweza kututengenezea kutokana na hela tuliyonayo kama wanavyofanya kwenye bidhaa zingine ila likigoma kufunga breki wakati unatelemka Kitonga msilalamike.
   
Loading...