Hii tume ya uchaguzi inataka kutuletea vurugu hapa, iweje mpaka leo hawataki kutupa matokeo? waliahidi kutoa matokeo ndani ya masaa ishirini na nne. hapa lazimA KIELEWEKE.Kutoka kwa habari za uhakika kutoka kwa mawakala waliopo Igunga. Jumla ya kula za CHADEMA ni nyingi kuliko zile za CCM. NEC inasuasaua kutangaza Kashinde kashinda. Nape amesambaza matokeo ya uongo kuonyesha CCM imeshaanda. Watu bado wengi wakisubili matoke...LOLOTE LINAWEZA KUTOKA!!
Matokeo igunga: Ccm 26,266 chadema 22,443
Matokeo igunga: Ccm 26,266 chadema 22,443
Haya matokeo ni toka jana sa sita usiku. kama hakuna mapya si ni kiashiria tosha kuwa wameshamaliza kuhesabu???kwanini sasa wasitangaze??tena kwa bahati nzuri wezi wameshinda c watangaze tu kama hakuna utata??Matokeo igunga: Ccm 26,266 chadema 22,443
Naomba sisiemu wachakachue kura za igunga ili tupate sababu ya kuanzisha maandamano nchi nzima.!
Diwani wetu Nanyaro, Mbunge wetu Lema, mpooooo? Tuliwaambia kuwa mnatwanga maji kwenye kinu mkabisha. Ukinda na uhuni wenu kisiasa utazidi kuwaumbua katika chaguzi zijazo........aha aha ahaaa.!!!!!!! IMEKULA KWENU.
Pamoja na yote.....poleni sana kwa kuangukia pua, ndio siasa. Next time...[/QUOT
iHuyu nae katokea wapi?
Ndio kwanza ninaelewa kuwa yale ya Nape ni feki. Kama ni ya uongo, Nape emekosa sifa za kuwa kiongozi wa CCM kwani ni wao CCM wenyewe pamoja na Timu (Tume) yao ya Uchaguzi wanaosisitiza kuwa ni kosa kutangaza matokeo kabla ya Tume. Sasa Nape kama kiongozi anataka tumweleweje? Magamba magamba tu! hata wakiyavua watabakia na makovu.Kwa kweli hapa vyama vitakuwa vimejifunza kuwa watu wanataka mabadiliko.
Kumbe yale matokeo aliyotoa Nape ni feki??