Kwa nini tume inachelewa kutangaza matokeo Igunga? Vurugu zimeanza

Itv.. Ufoo saro online kutoka eneo la tukio mabomu kama mvua, watu zaidi ya 300 wako lock up amani imepotea kwa muda, maduka yote yamefungwa, hakuna majeruhi bali ni machozi ya kumwaga kidogo hali imetulia viongozi wa cdm wametuliza hasira za vijana itv
 
Mabomu yameanza kupigwa vijana wamechachama wanataka tume itangaze matokeo star tv imetangaza

hata mimi nimepata taarifa kutoka kwa jamaa yangu aliyoko igunga, kuwa upepo umebalika sasa ni chadema wanaoongoza, ccm hawataki kuweka sahihi wanataka kura ziesabiwe tena. hapa ndipo watu hawataki
 
Jinsi ninavyofahamu Chadema ni hodari sana kukotoa matokeo ya kituo hadi kituo na kuyajumlisha mapema kabla ya matokeo halisi kutolewa hadharani na Tume ya Uchaguzi.

Kwa namna ambavyo hadi sasa Chadema haijatoa matokeo yanayoonyesha mwelekeo wa kupatikana ushindi wa dhahiri kupitia vyanzo vyake ni dalili ya wazi kuwa pengine Chadema imebaini kwamba kura zake hazikutosha.

Katika hali hiyo ni vyema viongozi wa CDM wakaanza mapemamchakato wa kuwatuliza wafuasi wake ili wapokee matokeo kwa hali ya amani na utulivu badala ya kupigwa na butwa na hatimaye kuzua tafrani kwa kutoamini.

Ikumbukwe kuwa CCM ni hodari sana kucheza na akili za watanzania kwa kudai kuwa CDm na wafuasi wake ni chama na watu wa fujo. Hivyo hali yoyote ya uvunjifu wa amani itakayoweza kutokea pengine kwa wauasi wake kutoamini matokep yaliyotangazwa inaweza kuwa devaststing effect kwa kazi nzuri iliyofanyika Igunga ya kupanua "Base".

Naomba kuwasilisha na kuwapongeza wapambanaji wote waliowezesha CDM kuliteka Jimbo la Igunga ndani ya kipindi kisichozidi miezi miwili.
 
mkuu hilo linajulikana kuna watu wemetoa takwimu za uongo ndio shida..
 
Ofcoz ni vyema kama wafuasi watatulizwa hadi hapo viongozi watakapotoa tamko rasmi..God blec CDM
 
Jinsi ninavyofahamu Chadema ni hodari sana kukotoa matokeo ya kituo hadi kituo na kuyajumlisha mapema kabla ya matokeo halisi kutolewa hadharani na Tume ya Uchaguzi.

Kwa namna ambavyo hadi sasa Chadema haijatoa matokeo yanayoonyesha mwelekeo wa kupatikana ushindi wa dhahiri kupitia vyanzo vyake ni dalili ya wazi kuwa pengine Chadema imebaini kwamba kura zake hazikutosha.

Katika hali hiyo ni vyema viongozi wa CDM wakaanza mapemamchakato wa kuwatuliza wafuasi wake ili wapokee matokeo kwa hali ya amani na utulivu badala ya kupigwa na butwa na hatimaye kuzua tafrani kwa kutoamini.

Ikumbukwe kuwa CCM ni hodari sana kucheza na akili za watanzania kwa kudai kuwa CDm na wafuasi wake ni chama na watu wa fujo. Hivyo hali yoyote ya uvunjifu wa amani itakayoweza kutokea pengine kwa wauasi wake kutoamini matokep yaliyotangazwa inaweza kuwa devaststing effect kwa kazi nzuri iliyofanyika Igunga ya kupanua "Base".

Naomba kuwasilisha na kuwapongeza wapambanaji wote waliowezesha CDM kuliteka Jimbo la Igunga ndani ya kipindi kisichozidi miezi miwili.

Nachoamini ni kwamba viongozi wa chadema watakuwa wameshafahamu matokeo ya igunga.

Lakini usisahau kwamba kwa mujibu wa sheria mwenye mamlaka ya kutangaza matokeo ni tume ya uchaguzi. Sasa unaposhauri viongozi wa chadema wawatulize wafuasi wao ili wapokee matokeo, matokeo gani hayo unayotaka waandaliwe kuyapokea?

Hujiulizi kwa nini matokeo hayo yamecheleweshwa kutangazwa kiasi hicho? Hapa wanaostahili lawama kama ndio njia pekee unayoina ni tume ya uchaguzi, chadema hawana pahali popote wanapaswa kuulizwa ama kuwajibika kwa ucheleweshaji wa kutangaza matokeo.
 
Kuna tetesi kwamba iwapo mgombea wa CCM atapita ktk kinyang'anyiro cha ubunge wa Igunga, basi kuna dalili kubwa kwamba ktk mabadiliko ya Cabinet Kikwete atamteua mgombea huyo kuwa Waziri wa Nishati na Madini kwa kigezo kwamba jamaa ana uzoefu wa kutosha walau kuweza kuingoza wizara hii iweze walau kutoa tongotongo na wingu zito la matatizo ya wizara husika ikiwapo umeme na mikatabafeki iliyorundikana wizarani na inayoendelea kuatamiwa na serikali.

Binafsi najiuliza, hivi huyo Kafumu so ndo alokuwa kamishna, na yote hayo yamefanyika ktk kipindi cha ukamishna wake? Je sio kwamba kama akifanya hivi itakuwa sawa na kuweka mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya, ili hali kinywaji ni kile kile? Iwapo hili litatokea basi ****** kwa mara nyingine atakuwa ameuthibitishia umma wa Watanzania kuwa yeye ni kiazi kweli kweli si mchezo.

Tunasubiri tuone!!!!
 
Watakaowajibika kwa vurugu zozote zile Igunga kwanza ni Nape,kwanini atangaze matokeo yasio rasimi kama sio viashiria vya ccm kuchakachua kura,kama walivyofanya 2010 kwa kutumia kile walichoita kura za maoni,pili tume ya uchaguzi kwanini wachukue muda mrefu kuhesabu kura za kat 26 tu! kama sio dalili za kutaka kuwafeva ccm kwa njia yoyote ile,tatu ni ccm na serikali yake kwani wanajua ni nguvu kiasi gani wametumia ktk kampeni zao kwa hiyo lazima wahakikishe wanatumia nguvu hiyohiyo tena ikibidi zaidi ya hiyo ili washinde,we tafakari Mkapa,Mangula,Magufuli,Makamba,Mashishanga,Mwigulu,Mkama,na nani yule analala sana bungeni?ah nimemsahau pia mkuu wa wilaya,ee bado polisi,nilitaka kusahau usalama wa taifa bado wengine we jaribu kutafakari watatangaza kweli kiurahisi kama sio mpaka kuapply pipoz power kama Mwanza na Arusha.
 
Swala la kuchelewesha matokeo ya uchaguzi wa jimbo moja tu si aibu ya tume tu, ni aibu kwa taifa zima opamoja na serikali pia. hainiingii akilini kuwa eti mpaka sasa hesabu za kujumlisha zinawashinda watumishi wa tume ya uchakachuaji na kusababisha uchelewaji wa matokeo ya uchaguzi ambao sasa imekuwa chanzo cha vurugu. naomba tume iwajibike kwa lolote litakalotokea igunga.
nawasilisha
 
Kuna tetesi kwamba iwapo mgombea wa CCM atapita ktk kinyang'anyiro cha ubunge wa Igunga, basi kuna dalili kubwa kwamba ktk mabadiliko ya Cabinet Kikwete atamteua mgombea huyo kuwa Waziri wa Nishati na Madini kwa kigezo kwamba jamaa ana uzoefu wa kutosha walau kuweza kuingoza wizara hii iweze walau kutoa tongotongo na wingu zito la matatizo ya wizara husika ikiwapo umeme na mikatabafeki iliyorundikana wizarani na inayoendelea kuatamiwa na serikali.

Binafsi najiuliza, hivi huyo Kafumu so ndo alokuwa kamishna, na yote hayo yamefanyika ktk kipindi cha ukamishna wake? Je sio kwamba kama akifanya hivi itakuwa sawa na kuweka mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya, ili hali kinywaji ni kile kile? Iwapo hili litatokea basi ****** kwa mara nyingine atakuwa ameuthibitishia umma wa Watanzania kuwa yeye ni kiazi kweli kweli si mchezo.

Tunasubiri tuone!!!!

idiot people speaks rubbish
 
Back
Top Bottom