Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,883
- 2,763
nape ni muuaji
"Ukiona Tume inachelewasha matokeo, ujuwe inachakachua"bila kuchelewesha matokeo CCM itashindaje?
idiot people speaks rubbish
Nachoamini ni kwamba viongozi wa chadema watakuwa wameshafahamu matokeo ya igunga.
Lakini usisahau kwamba kwa mujibu wa sheria mwenye mamlaka ya kutangaza matokeo ni tume ya uchaguzi. Sasa unaposhauri viongozi wa chadema wawatulize wafuasi wao ili wapokee matokeo, matokeo gani hayo unayotaka waandaliwe kuyapokea?
Hujiulizi kwa nini matokeo hayo yamecheleweshwa kutangazwa kiasi hicho? Hapa wanaostahili lawama kama ndio njia pekee unayoina ni tume ya uchaguzi, chadema hawana pahali popote wanapaswa kuulizwa ama kuwajibika kwa ucheleweshaji wa kutangaza matokeo.

kura laki 3 unahesabu masaa 12 - kali ya mwaka.
nakuunga mkono mkuu, nionavyo mimi viongozi wa chadema wametumia busara sana kutotoa matokeo yoyote hata kama wanajua,hadi tume itangaze,kwa sababu ccm wanalishasema kupitia wassira kuwa cdm wameandaa vijana kusherehekea ushindi watakao utangaza,mpaka sasa ni nape ndiye aliyejivika majukumu ya tume kwa kutangaza matokeo ya jumla.viongozi wa chadema waendelee kuvuta subira mpaka tume itangaze yenyewe ili kama kuna uchakachuaji ndipo watakapotamka na ikibidi kuchukua hatua za kisheri,la kuwatuliza wanachama ni muhimu lakini kumbuka mwanachama ambae tayari keshajua ameshinda ukimtuliza wewe kiongozi utaonekana kama nawe umechakachuliwa.kumbuka kilichotokea nyamagana 2010
Kuna tetesi kwamba iwapo mgombea wa CCM atapita ktk kinyang'anyiro cha ubunge wa Igunga, basi kuna dalili kubwa kwamba ktk mabadiliko ya Cabinet Kikwete atamteua mgombea huyo kuwa Waziri wa Nishati na Madini kwa kigezo kwamba jamaa ana uzoefu wa kutosha walau kuweza kuingoza wizara hii iweze walau kutoa tongotongo na wingu zito la matatizo ya wizara husika ikiwapo umeme na mikatabafeki iliyorundikana wizarani na inayoendelea kuatamiwa na serikali.
Binafsi najiuliza, hivi huyo Kafumu so ndo alokuwa kamishna, na yote hayo yamefanyika ktk kipindi cha ukamishna wake? Je sio kwamba kama akifanya hivi itakuwa sawa na kuweka mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya, ili hali kinywaji ni kile kile? Iwapo hili litatokea basi ****** kwa mara nyingine atakuwa ameuthibitishia umma wa Watanzania kuwa yeye ni kiazi kweli kweli si mchezo.
Tunasubiri tuone!!!!
ukiona hivyo ni chadema imeshinda