Kwa nini tuilipe dowans?

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
wana JF natumaini nyie ni wazima wa afya na wenye uchungu na nchi yenu dhidi ya mkoloni mweusi.
Wana JF swala sio ni nani atayetakiwa kulipwa hizo mabilion ila cha muhimu tunachotakiwa ni kuijadili dowans ni wapi imetoka sababu mkataba waliokuwa nao wamenunua kutoka Richmond ambayo kila mtanzania anajua ilikuwa kampuni feki ambayo haikuwa na ata ofisi na mbaya zaidi mpaka sasa kuna DOWANS MBILI moja ya TANZANIA na NYINGINE YA COSTA RICA ambayo serikali yake imeikana. JE KUNA UMUHIMU WA KUILIPA DOWANS?
 
Back
Top Bottom