Mimeingiwa na utata kwamba siku hizi nne au Tano television ya star, TBC1, ATN, Channel ten and Redio free africa wameacha kusoma vichwa vya habari katika gazeti la Tanzania daima. Walianza na Mwanahalisi. Je, Sababu nini? Je, kuna malipo ambayo hupata toka katika magazeti wanayosoma na hivi sasa Tanzania Daima haiwalipi?
anybody with uput please let me know!!!!
si mbowe aanzishe utaratibu liwe linasomwa na ma dj wa pale billz wakati wa disco.
Wewe kweli unamatatizo, hii ni forum ya great thinkers. Mtu anajaribu kuuliza ili apate maoni na uchambuzi ulioenda shule. wewe unaleta uvaaji wa hereni. Tuachie jamvi letu watu wenye akili za kuchambua mambo tufanye kazi yetu. MSITUINGILIEsi Mbowe aanzishe utaratibu liwe linasomwa na Ma DJ wa pale billz wakati wa disco.
Kha kumbe umejibu jambo usilolijua , kwa taarifa huwa yanasomwa yote yanayokuwa wamefanikiwa kuyapata na ambayo hawajapewa maelekezo toka kwa wenye mali ya kuyaweka pendingGreat thinker, anauliza kwa nini gazeti fulani halisomwi redioni? giv me a ****in break, kwa mtu anayedhani kuna akili hapa yeye mwenyewe anahitaji msaada. Kwani redio gani huwa inasoma magazeti yote ya siku au inawezekana vp magazeti yote yakasomwa katika kipindi kimoja..EEEBOOO!!!!!
si Mbowe aanzishe utaratibu liwe linasomwa na Ma DJ wa pale billz wakati wa disco.
Kha kumbe umejibu jambo usilolijua , kwa taarifa huwa yanasomwa yote yanayokuwa wamefanikiwa kuyapata na ambayo hawajapewa ila kama kuna maelekezo toka kwa wenye mali ndiyo huwekwa pending
Hivi JF haina moderators? Kama wangekuwepo, ni afadhali watu wanaotoa maoni kama wehu wangekuwa wanafutiwa uanachama ili wabakie wenye akili timamu tu. Maana tutakuwa tunajihadaa kuwa JF is for great thinkers wakati imekusanya watu wote including retarded brains.
Ww nigee tafsiri nyingine ya yaliyotufikia pengine unawaza kichinawewe umejibu unachokijua? kuna magazeti mangapi yanatoka kwa siku na kipindi cha kuyasoma ni cha muda gani? unajua maana ya yaliyotufikia? akili za ma great thinker wengine bana.
Ww nigee tafsiri nyingine ya yaliyotufikia pengine unawaza kichina
Naomba ikiwezekana kaa kimya, unatuchafulia jamviiii. NAOMBA UTUACHIE JAMVI LETUUU. WEWE KIJANA MBONA HUSIKIII.Great thinker, anauliza kwa nini gazeti fulani halisomwi redioni? giv me a break, kwa mtu anayedhani kuna akili hapa yeye mwenyewe anahitaji msaada. Kwani redio gani huwa inasoma magazeti yote ya siku au inawezekana vp magazeti yote yakasomwa katika kipindi kimoja..EEEBOOO!!!!!
Naomba ikiwezekana kaa kimya, unatuchafulia jamviiii. NAOMBA UTUACHIE JAMVI LETUUU. WEWE KIJANA MBONA HUSIKIII.
Great thinker, anauliza kwa nini gazeti fulani halisomwi redioni? giv me a break, kwa mtu anayedhani kuna akili hapa yeye mwenyewe anahitaji msaada. Kwani redio gani huwa inasoma magazeti yote ya siku au inawezekana vp magazeti yote yakasomwa katika kipindi kimoja..EEEBOOO!!!!!
Wee kijana umerudi lini kutoka sero?!! Naona sasa umekuja na hasira nyingi za kuwa jela. Ninafikiri huwa unakosa kitu kimoja tu, "hekima ya namna ya kumjibu mtu". Kauli zako mara nyingi huwa ni za maudhi na kuonyesha dharau. Ni vizuri ukajifunza namna ya kuwasiliana vizuri na wenzako. Kama mtu ameuliza sababu za gazeti kutosomwa radioni, iweje wewe umjibu kwamba akaliweke Bilicanas. Hivi Bilicanas ni redio au ni nini hadi waweze kusoma vichwa vya habari vya magazeti huko? Jbonyeza report botton mara nyingi uwezavyo halafu hao wapenda demokrasia wataufunga mdomo wangu kama walivyozoea.