Kwa nini tanzania daima siku hizi halisomwi kwenye tv na redio?

nilisoma kwenye web flan siikumbuki vizuri ikisema kuwa magazeti yamechangia kiasi fulani kwa chama tawala kuangukia pua kwenye uchaguzi mkuu uliopita kwa hiyo suluhisho ni kulipiga stop kuruka radio free africa ambayo ndio ina mtandao mkubwa.

thanks, it might be a reason
 
Great thinker, anauliza kwa nini gazeti fulani halisomwi redioni? giv me a break, kwa mtu anayedhani kuna akili hapa yeye mwenyewe anahitaji msaada. Kwani redio gani huwa inasoma magazeti yote ya siku au inawezekana vp magazeti yote yakasomwa katika kipindi kimoja..EEEBOOO!!!!!


Mheshimiwa BURN: Gazeti la Tanzania Daima limekuwa likisomwa mara kwa mara na imekuwa kawaidi kwamba haiwezi kupita siku mbili bila angalau kituo kimoja kati ya nilivyovitaja havijalisoma. Cha ajabu katika siku nne kabla sijauliza humu JF, Gazeti hili halikusomwa. Zaidi leo limesomwa. Kimsingi niliuza humu ili kujua kama lina habari contraversial iliyosababisha lisisomwe vituoni kwani imekuwa kawaidi kwa TZ magazeti yanayotoa habari kali ama hayasomwi au hayasambazwi kabisa. Mfano kuna kipindi mwanahalisi lilikuwa na habari kali halikufika huku kwetu. vilevile gazeti lililokuwa na habari ya Lowassa hatukulipata kwetu. hicho ndo chanzo cha kuuliza humu JF.
NAAMINI UMEELEWA KWANINI NIMEULIZA!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom