Kwa nini tanzania daima siku hizi halisomwi kwenye tv na redio?

Papa D

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
753
182
Mimeingiwa na utata kwamba siku hizi nne au Tano television ya star, TBC1, ATN, Channel ten and Redio free africa wameacha kusoma vichwa vya habari katika gazeti la Tanzania daima. Walianza na Mwanahalisi. Je, Sababu nini? Je, kuna malipo ambayo hupata toka katika magazeti wanayosoma na hivi sasa Tanzania Daima haiwalipi?
anybody with uput please let me know!!!!
 
si Mbowe aanzishe utaratibu liwe linasomwa na Ma DJ wa pale billz wakati wa disco.
 
Kweli jf ina watu mchanganyiko akiwemoi huyu asiye na akili timamu........shukuru watz hawajakusikia nadhani ungeshindwa kwenda mjini

si mbowe aanzishe utaratibu liwe linasomwa na ma dj wa pale billz wakati wa disco.
 
raia mwema,mwananchi na raia mwema yanasema ukweli!hivi karibuni yatafungiwa
 
si Mbowe aanzishe utaratibu liwe linasomwa na Ma DJ wa pale billz wakati wa disco.
Wewe kweli unamatatizo, hii ni forum ya great thinkers. Mtu anajaribu kuuliza ili apate maoni na uchambuzi ulioenda shule. wewe unaleta uvaaji wa hereni. Tuachie jamvi letu watu wenye akili za kuchambua mambo tufanye kazi yetu. MSITUINGILIE
 
Itakuwa tu serikali ya JK imevipiga mkwala wa kisirisiri visisome, au vyenyewe vyombo hivyo ni vioga na vinajikomba kwa serikali ili visifungiwe na pia vipate maslahi viyapatayo.
 
Great thinker, anauliza kwa nini gazeti fulani halisomwi redioni? giv me a break, kwa mtu anayedhani kuna akili hapa yeye mwenyewe anahitaji msaada. Kwani redio gani huwa inasoma magazeti yote ya siku au inawezekana vp magazeti yote yakasomwa katika kipindi kimoja..EEEBOOO!!!!!
 
Great thinker, anauliza kwa nini gazeti fulani halisomwi redioni? giv me a ****in break, kwa mtu anayedhani kuna akili hapa yeye mwenyewe anahitaji msaada. Kwani redio gani huwa inasoma magazeti yote ya siku au inawezekana vp magazeti yote yakasomwa katika kipindi kimoja..EEEBOOO!!!!!
Kha kumbe umejibu jambo usilolijua , kwa taarifa huwa yanasomwa yote yanayokuwa wamefanikiwa kuyapata na ambayo hawajapewa maelekezo toka kwa wenye mali ya kuyaweka pending
 
si Mbowe aanzishe utaratibu liwe linasomwa na Ma DJ wa pale billz wakati wa disco.

Hivi JF haina moderators? Kama wangekuwepo, ni afadhali watu wanaotoa maoni kama wehu wangekuwa wanafutiwa uanachama ili wabakie wenye akili timamu tu. Maana tutakuwa tunajihadaa kuwa JF is for great thinkers wakati imekusanya watu wote including retarded brains.
 
Kha kumbe umejibu jambo usilolijua , kwa taarifa huwa yanasomwa yote yanayokuwa wamefanikiwa kuyapata na ambayo hawajapewa ila kama kuna maelekezo toka kwa wenye mali ndiyo huwekwa pending

wewe umejibu unachokijua? kuna magazeti mangapi yanatoka kwa siku na kipindi cha kuyasoma ni cha muda gani? unajua maana ya yaliyotufikia? akili za ma great thinker wengine bana.
 
Binafsi sijabaini jambo hilo kwamba TanzaniaDaima halisomwi. Kama ndivyo, basi nchi hii inaelekea kubaya. Kesho asubuhi nitafuatilia suala hili kwenye radio na tv.
 
Hivi JF haina moderators? Kama wangekuwepo, ni afadhali watu wanaotoa maoni kama wehu wangekuwa wanafutiwa uanachama ili wabakie wenye akili timamu tu. Maana tutakuwa tunajihadaa kuwa JF is for great thinkers wakati imekusanya watu wote including retarded brains.

wasaidie kwa kugonga report botton wata ni ban ubaki na magreti thinker wenzako
 
wewe umejibu unachokijua? kuna magazeti mangapi yanatoka kwa siku na kipindi cha kuyasoma ni cha muda gani? unajua maana ya yaliyotufikia? akili za ma great thinker wengine bana.
Ww nigee tafsiri nyingine ya yaliyotufikia pengine unawaza kichina
 
Ww nigee tafsiri nyingine ya yaliyotufikia pengine unawaza kichina

maana yake yapo mengi ila yanasomwa yale tu yaliyofika kwenye meza ya habari na si lazima kwa yaliyofika siku hiyo Freeman Mbowe nalo liwepo.
 
Great thinker, anauliza kwa nini gazeti fulani halisomwi redioni? giv me a break, kwa mtu anayedhani kuna akili hapa yeye mwenyewe anahitaji msaada. Kwani redio gani huwa inasoma magazeti yote ya siku au inawezekana vp magazeti yote yakasomwa katika kipindi kimoja..EEEBOOO!!!!!
Naomba ikiwezekana kaa kimya, unatuchafulia jamviiii. NAOMBA UTUACHIE JAMVI LETUUU. WEWE KIJANA MBONA HUSIKIII.
 
Nahisi ni kwa sababu linapenda mara nyingi kuonesha -ve side ya watawala....
 
Naomba ikiwezekana kaa kimya, unatuchafulia jamviiii. NAOMBA UTUACHIE JAMVI LETUUU. WEWE KIJANA MBONA HUSIKIII.

bonyeza report botton mara nyingi uwezavyo halafu hao wapenda demokrasia wataufunga mdomo wangu kama walivyozoea.
 
Great thinker, anauliza kwa nini gazeti fulani halisomwi redioni? giv me a break, kwa mtu anayedhani kuna akili hapa yeye mwenyewe anahitaji msaada. Kwani redio gani huwa inasoma magazeti yote ya siku au inawezekana vp magazeti yote yakasomwa katika kipindi kimoja..EEEBOOO!!!!!

Dah! We kwa upupu ni mwisho... Kama huna jibu kaa kimya wanaofahamu watamweleza. Si lazima uongeze idadi ya post
 
bonyeza report botton mara nyingi uwezavyo halafu hao wapenda demokrasia wataufunga mdomo wangu kama walivyozoea.
Wee kijana umerudi lini kutoka sero?!! Naona sasa umekuja na hasira nyingi za kuwa jela. Ninafikiri huwa unakosa kitu kimoja tu, "hekima ya namna ya kumjibu mtu". Kauli zako mara nyingi huwa ni za maudhi na kuonyesha dharau. Ni vizuri ukajifunza namna ya kuwasiliana vizuri na wenzako. Kama mtu ameuliza sababu za gazeti kutosomwa radioni, iweje wewe umjibu kwamba akaliweke Bilicanas. Hivi Bilicanas ni redio au ni nini hadi waweze kusoma vichwa vya habari vya magazeti huko? J
 
nilisoma kwenye web flan siikumbuki vizuri ikisema kuwa magazeti yamechangia kiasi fulani kwa chama tawala kuangukia pua kwenye uchaguzi mkuu uliopita kwa hiyo suluhisho ni kulipiga stop kuruka radio free africa ambayo ndio ina mtandao mkubwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom