Kwa nini ni starlet

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
543
37
Unajua aina ya gari inayoongoza afrika mashariki kwa kubonyea/mageraha mbavuni na nyuma
Jibu ni gari ndogo aina ya starlet je unajua ni kwanini?
Hebu tupe maoni yako.
 

doup

JF-Expert Member
Feb 26, 2009
2,170
1,690
inahongeka kiraisi, wanawake wengi hujifunzia humo, madereva wa Magari makubwa (mengine) hawana hofu ya kukwaruzana nayo
 

Tulizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
848
662
Kwa sababu kutokana na kutokuwa na bara bara za mjini.. Bara bara zetu zimejaa mashimo kama ilivyokuwa Iraq baada ya vita. Hivyo magari mengi tunayotumia ni 4 x 4 wheel drive ambayo yako juu na hivyo starlet kuwa chini kama toy..hivyo wanagonga kama wanavyotaka..

Na kutokana na kutokuwepo kwa sheria kutokana na ufisadi.. Madereva wetu wameweka Ngao kwenye 4 x 4 kama vile wako vitani hivyo hawajali magari madogo kama starlet. Hata kama watakugonga..madereva wetu wanajua wataoa Rushwa na kuwa nje.. Na kama mkosaji ni mzungu.. Hawana haja ya kutoa rushwa.. Wakiongea lugha ya kigeni tu..Matraffic wataogopa na kuwaachia..kwani matraffic wengi ni vilaza na wameingia kwa rushwa huko polisi..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom