Kwa nini ni kwa wanawake/wasichana tu?

Kuwa mnao mabwana zaidi ya mmoja, kuna wa usafiri, kuna wa Vocha, kuna wa kodi ya Pango..... yaani inategemea na mahitaji yenu... uongo?
sio kweli na sidhani kama ni wote kwani inamaana na nyinyi hamfanyi ivyo?
 
tafiti zinaonyesha wasichana ndo mabingwa wa kuacha wapenzi wao.... hata afanye mapenzi nje bado nguvu zipo palepale so anaweza akaudumia hata wanaume5 kwa siku
 
watu wengi huwa wanapenda kusema na kuona kwamba ni wsichana/wanawake pekee ndio wenye wapenzi zaidi ya mmoja,na sio kufikilia na wavulana pia wanao wapenzi zaidi ya mmoja.ni kwa nini kwa wasichana/wanawake tu?wavulana je?

poleeeee
wasichana/wanawake hufuatwa kwa hiyo namba ya wafuataji ni kubwa zaidi kuliko wanaume ambao ndo wafuataji
 
Back
Top Bottom