Kwa nini 'nature' imewapa wanawake bikra? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini 'nature' imewapa wanawake bikra?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chapakazi, Mar 28, 2011.

 1. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hili swali limenijia baada kuona thread ya mtu anatafuta mwanamke bikra.

  1. Ivi bikra ipo kwa viumbe vyote vya kike au ni specific kwa wanadamu?
  2. Je inakazi nyingine yeyote au ni kuonyesha upya wa mwanamke?
  3. Kwa nini nature ifanye hivi kwa jinsia moja tu?
  4. Je kuna kitu tunashindwa kuona/kujifunza kutoka kwa 'nature'?

  P.S: Mie sio mwandishi na sirembi chochote. Naenda straight to the point. Kwa hiyo poleni kwa maswali makali.
  Pili, nimetumia neno 'nature' kwa kusudi la ku-capture imani nyingi. I.e: Kwa wale wanaoamini evolution na wale wanaoamini uumbaji.
  Tatu, by bikra ninamaanisha hymen, na sio bikra ya kifalsafa (kufanya mapenzi). i.e: inayotumika kwa mwanaume pia.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hymen ndio nin? Hilo neno tu limenifanya nishndwe kuchangia.
   
 3. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  at least nimejua leo kama una F ya baioloji form 2. khaaa!
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  mwalimu wangu hakufundisha hyo topiki.
  Topiki zingine alikuwa anasema eti matusi bora tukajisomee wenyewe.
   
 5. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  ok, ukihitaji tushen unajuwa wapi pa kunipata.

  bek to ze topik: hivi hymen ina mahusiano yoyote na sex? nazani ipo pale kimaumbile zaidi na sio kisex, ila kwasababu hymen ni laini yule abdalla akiingia ndio anasababisha kukatika . ni sisi na imani ndio tumeihusisha hymen na sex adhawaizi hymen ni sawa na utata chini ya ulimi tu. ni sehem ya umbile la mwanamke . nimemaliza na naomba nisiulizwe suali zaidi. senks
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  unanidai thanks. Kesho uniPM kunikumbusha. Sahivi wino wangu umeisha.
   
 7. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  :bathbaby:
   
 8. U

  Uswe JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  njoo nikufundishe vile alivoviskip mwalimu wako, ni vya muhimu sana sana!
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  nipo njiani.
   
 10. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Kwanini unauliza 'NATURE' ? au unahoji matakwa ya Mwenyezi Mungu alivyopenda kuumba watu wake?
   
 11. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ipo pale purposily kuudhirisha UKIRUKA njia wa mdada kabla ya kuolewa.
  Ukikosa kwa unaetaka kumuoa ujue kapitiwa na wengi........teeeeh teeeeehhhhh kwii kwii kwiii..!
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Tuko pamoja bidada...
   
 13. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nacheka tu,hivi jamani naomba tu kuuliza; kwa mwanamke kama hujafanya mapenzi muda wa miezi mitatu ukikutana na mwanaume lazima uumie na sometimes damu kutoka. Sasa jiulize huyo ambaye hajawahi kufanya inakuwaje? Hizo teminology zenu nafikiri ni vikorombwezo tu havina maana yoyote.
   
 14. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,138
  Trophy Points: 280
  Kwanza jiulize kwa nini una mavuzi wakati wengi hawana kazi nayo na huyanyowa?
   
 15. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Wacha we ulifikaje hatua nyengine kama hujaanza?
   
 16. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,190
  Likes Received: 996
  Trophy Points: 280
  .
  Naona kama tumetegwa zaidi ya kutaka kujifunza.
  Kwa upande wetu sisi watu tutakaojibu kiimani ni kwamba, bikra kwa maana ya hymen haipo kwa viumbe wote wa kike, ipo tu kwa binadamu.
  Kazi yake kubwa ni kuonyesha upya wa mke maana netural haikubaliani na mke kuwa na mme zaidi ya mmoja. Na ndio maana hamna sababu yeyote ambayo inamwezesha mme kumwacha mkewe na kumuoa mwingine isipokua tu kwa sababu moja tu, nayo ni uasherati, iileweke sio uzinzi (mat 19:9).
  Imekuwa hivi kwa jike la binadamu tu na wala sii kwa majike ya viumbe vingine, maana majike mengine yote yapo katika uumbaji wa Mungu wa asili tofauti na jike la binadamu, yeye ametenganishwa kutoka kwa mwanamume aliye katika uumbaji wa asili wa Mungu.
  Tunachoshindwa kujifunza katika netural ni kwamba jike la binadamu ndio pekee lenye maumbile danganyifu. Na ndio pekee linaloweza kuwa lizinzi katika majike ya viumbe vyote. na ni kwa jike tu la binadamu ndio wazuri(warembo), kwani viumbe wengine madume ndio warembo mfano Jogoo, simba, farasi nk.
  Nasita kuendelea zaidi ya hapa maana siamini kama huku Jf hawatembelei under 18.
  Mke ambae hajapoteza asili yake ameumbiwa dalili ya kumilikiwa kichwani na mme.
  Nisimamie hapa kwa kusema kwamba bikra(hymen) ipo kwa mwanamke tu kwa sababu asili inafundisha kwamba mwanamume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanamume.(1corr 11:9)
  .
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mimi nadhani hata mwanaume ana bikra. lile govi ni bikra tosha kabisaaaa. ukishalikata bikra yako imeondolewa. ktk jamii km za wamasai ambao kijana mpaka abalehe ndo anaenda tohara ndipo aruhusiwe kuoa walikuwa na maana hiyooo nachapo sasa ndo aliweza kamata nditooo nakuchapa bakora sawiaaaa.
   
 18. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  bikira kwa maana ya physical virginity, zipo kwa wanawake na wanaume pia na japo zinatofautiana kimaumbile. wanaume wegi huharibu au kuharibiw bikira zao kabla ya tendo la kwanza la ngono kwa njia mbili
  1. kujichezea kwa kubinua au kuikunjua ngozi za govi zao kwa nyuma (rolling back) kwa nguvu hadi kuibandua na kuitenganisha na kichwa cha uume
  2. kutahiri

  kama hayo mawili hayakufanyika basi naye atatolewa bikira siku za mwanzo za tendo la ngono na mwanamke wakati wa kuingiliana (deep and tight penetration). ila izingatiwe kuwa kama mwanaume atatolewa bikira kwa kujamiiana inawezekana bikira yote isitoke katika tendo moja au siku moja kwani tofauti na mwanamke, ya mwanaume hutoka kidogokidogo labda kama utabanduliwa kwa nguvu

  kuhusu wanyama wengine, baadhi (mfano wa jamii ya sokwe, mbwa nk) wana viungo nfano wa hymen na wengine hawana (hasa wale wanaotumia mjia moja kwa kujisaidia na kupandana, mfano ndege kama kuku, bata nk)

  moja ya faida za hymen kibaolojia ni pamoja na kuwa kinga ya maradhi kwa kuwa inapunguza surface area ya kuingilia na kuzamia ukeni na hivyo kupunguza kiwango, kasi na uezekano wa maambukizi kwenye via vya uzazi hasa vilivyo ndani zaidi ya mfumo wa uzazi wa mwanamke kama uterus, cervix nk.

  mabikira wanashauriwa kutojichokonoa kwa vidole wakati wa kujisafisha au kuingiza kitu chochote ukeni vikiwemo vifaa tiba (kama syringe za kuingizia baaadhi ya dawa kama contraceptives) ili kuilinda hymen na kuendelea kutunza physical virginity

  naomba niishie hapa

  mbarikiwe sana na Bwana

  utukufu na heshima vina yeye milele na milele, amina
   
 19. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Jibu lako zuri sana. Sikuwa najua kuhusu wanaume nao kuwa na bikra. Thats very interesting na itabidi niifanyie research zaidi! Kwa hiyo bikra ya wanaume ina kazi sawa na ile ya wanawake? i.e: kulinda kutoka magonjwa, nk?
  Pili ningeomba ufafanuzi zaidi au hata reference inayoonyesha kuwa hao wanyama wengine nao wanakuwa na hymen!
   
 20. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwani kuna ubaya wa kuelewa uumbaji wa Mwenyenzi Mungu. Kwani siri na hataki tujue? Si ndo maana ametume uwezo wa kujua vitu?au tunatakiwa tubaki wajinga milele?
   
Loading...