Kwa nini 'nature' imewapa wanawake bikra?

.
Naona kama tumetegwa zaidi ya kutaka kujifunza.
Kwa upande wetu sisi watu tutakaojibu kiimani ni kwamba, bikra kwa maana ya hymen haipo kwa viumbe wote wa kike, ipo tu kwa binadamu.
Kazi yake kubwa ni kuonyesha upya wa mke maana netural haikubaliani na mke kuwa na mme zaidi ya mmoja. Na ndio maana hamna sababu yeyote ambayo inamwezesha mme kumwacha mkewe na kumuoa mwingine isipokua tu kwa sababu moja tu, nayo ni uasherati, iileweke sio uzinzi (mat 19:9).
Imekuwa hivi kwa jike la binadamu tu na wala sii kwa majike ya viumbe vingine, maana majike mengine yote yapo katika uumbaji wa Mungu wa asili tofauti na jike la binadamu, yeye ametenganishwa kutoka kwa mwanamume aliye katika uumbaji wa asili wa Mungu.
Tunachoshindwa kujifunza katika netural ni kwamba jike la binadamu ndio pekee lenye maumbile danganyifu. Na ndio pekee linaloweza kuwa lizinzi katika majike ya viumbe vyote. na ni kwa jike tu la binadamu ndio wazuri(warembo), kwani viumbe wengine madume ndio warembo mfano Jogoo, simba, farasi nk.
Nasita kuendelea zaidi ya hapa maana siamini kama huku Jf hawatembelei under 18.
Mke ambae hajapoteza asili yake ameumbiwa dalili ya kumilikiwa kichwani na mme.
Nisimamie hapa kwa kusema kwamba bikra(hymen) ipo kwa mwanamke tu kwa sababu asili inafundisha kwamba mwanamume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanamume.(1corr 11:9)

.

Umesema kazi yake ni kuonyesha upya wa mwanamke na kuwa mwanamke ameumbwa kwa ajili wa mwanaume. Kwa hiyo unasema kuwa Mungu ni mbaguzi na anapenda jinsia moja zaidi ya nyingine? Kwa nini aweke bikra kwa moja kwa kusudi la kuzuia uasherati lakini asiweke kwa hiyo jinsia nyingine? ina maana Mungu hajali kama wanaume wanavunja amri ya 6?
 
Mungu sio mbaguzi na wala kamwe karama zake hazina majuto.
Ni kwa nini katika plani yake ya uumbaji aliahamua hivyo sisi hatujui, tunapaswa tu kukubaliana nae kwa kumwamini. Na uhalisia ni kwamba ili kuwe na development ya chochote ni lazima hali zitofautiane. Haiwezekani earth(ardhi) iwe mbegu ua mbegu iwe ardhi, lazima kila kimoja kikubali kuwa kile kilicho. Mwanaume ndie mwenye mbegu ya uhai na mwanamke yeye ana yai la kuirutubisha hii mbegu. Hivyo mmoja ni mbegu na wa pili ni mfano wa shamba.
Mungu hamruhusu mwanamme kuvunja amri ya 6 ndio maana aliamrisha kila mtu na awe na mke wake mwenyewe. Kwa habari ya kuwa na wake wingi kama ilivyokuwa wakati wa agano la kale, yalikuwa ni mapenzi ya Mungu yaliyoridhiwa tu na hayakuwa mapenzi makamilifu.
Ni sawa tu na hili jipya mwanamke hulazimika kumueleza mme atakayemuoa status zake kama ni bikira ama la. Ikiwa mme atakubalikumchukua hata kama sio bikira basi ni kusema kuwa amemtakasa na linaingia moyoni mwa Mungu kuwa yule mama ni binti bikira, kwa kuruhusika na wala sii katika ukamilifu wake kwa asili.
.
 
Lakini kumbukeni, bikira inaweza kutoka bila ya ya tendo la kujamiiana. Mfano kwa wadada wanaocheza sarakasi au michezo inaowafanya wajimanue sana, kuendesha baiskeli nk. Hivyo si kweli kwamba bikira imewekwa kuonyesha upya wa mwanamke kabla ya ndoa.
 
ubikira/virgin inatumika kwa vitu vingi tu siyo mwanamke hata wanaume hata ardhi n.k

ni mazoea tu na wewe umeingia kwenye hayo mazoea
 
am talking specifically in regards to hymen my friend. The post makes it clear...
 
.
Mungu sio mbaguzi na wala kamwe karama zake hazina majuto.
Ni kwa nini katika plani yake ya uumbaji aliahamua hivyo sisi hatujui, tunapaswa tu kukubaliana nae kwa kumwamini. Na uhalisia ni kwamba ili kuwe na development ya chochote ni lazima hali zitofautiane. Haiwezekani earth(ardhi) iwe mbegu ua mbegu iwe ardhi, lazima kila kimoja kikubali kuwa kile kilicho. Mwanaume ndie mwenye mbegu ya uhai na mwanamke yeye ana yai la kuirutubisha hii mbegu. Hivyo mmoja ni mbegu na wa pili ni mfano wa shamba.
Mungu hamruhusu mwanamme kuvunja amri ya 6 ndio maana aliamrisha kila mtu na awe na mke wake mwenyewe. Kwa habari ya kuwa na wake wingi kama ilivyokuwa wakati wa agano la kale, yalikuwa ni mapenzi ya Mungu yaliyoridhiwa tu na hayakuwa mapenzi makamilifu.
Ni sawa tu na hili jipya mwanamke hulazimika kumueleza mme atakayemuoa status zake kama ni bikira ama la. Ikiwa mme atakubalikumchukua hata kama sio bikira basi ni kusema kuwa amemtakasa na linaingia moyoni mwa Mungu kuwa yule mama ni binti bikira, kwa kuruhusika na wala sii katika ukamilifu wake kwa asili.
.

Sidhani kama Mungu anapenda tuishi knowledgeless. Kwa hiyo huwezi kusema kuwa ni mapenzi yake na kuishia hapo. Ametupa uwezo wa kutambua na kudadisi vitu ili tuweze kuutumia. Kwa hiyo huwezi kumtumia Mungu kujificha kutoka kuelewa kitu. Kwa hiyo swali linabaki pale pale. Kama vipi jibu tu kuwa hujui. Nothing wrong with that.
Pili...hapo pekundu naomba ufafanuzi zaidi!
Tatu...ivi sperm ndio mbegu ya uhai? I though Yai na Sperm zinashare 50/50.
 
.
Naona kama tumetegwa zaidi ya kutaka kujifunza.
Kwa upande wetu sisi watu tutakaojibu kiimani ni kwamba, bikra kwa maana ya hymen haipo kwa viumbe wote wa kike, ipo tu kwa binadamu.
Kazi yake kubwa ni kuonyesha upya wa mke maana netural haikubaliani na mke kuwa na mme zaidi ya mmoja. Na ndio maana hamna sababu yeyote ambayo inamwezesha mme kumwacha mkewe na kumuoa mwingine isipokua tu kwa sababu moja tu, nayo ni uasherati, iileweke sio uzinzi (mat 19:9).
Imekuwa hivi kwa jike la binadamu tu na wala sii kwa majike ya viumbe vingine, maana majike mengine yote yapo katika uumbaji wa Mungu wa asili tofauti na jike la binadamu, yeye ametenganishwa kutoka kwa mwanamume aliye katika uumbaji wa asili wa Mungu.
Tunachoshindwa kujifunza katika netural ni kwamba jike la binadamu ndio pekee lenye maumbile danganyifu. Na ndio pekee linaloweza kuwa lizinzi katika majike ya viumbe vyote. na ni kwa jike tu la binadamu ndio wazuri(warembo), kwani viumbe wengine madume ndio warembo mfano Jogoo, simba, farasi nk.
Nasita kuendelea zaidi ya hapa maana siamini kama huku Jf hawatembelei under 18.
Mke ambae hajapoteza asili yake ameumbiwa dalili ya kumilikiwa kichwani na mme.
Nisimamie hapa kwa kusema kwamba bikra(hymen) ipo kwa mwanamke tu kwa sababu asili inafundisha kwamba mwanamume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanamume.(1corr 11:9)
.

Kwanza neturlal is supposed to be written "nature"; then you arguments are erroneous indeed...hujui maandiko wala logic...tena u male chauvinist....
 
Akishaipoteza zile dalili za kumilikiwa kichwani na mume zinapotea mkuu? Tafadhali fafanua hapo ati!!
 
Wewe unayeyajua mbona basi hufafanui maana ya hayo niliyoyatolea ufafanuzi kimakosa?
Au na wewe ni 'donoa dume'?.
.
 
Akishaipoteza zile dalili za kumilikiwa kichwani na mume zinapotea mkuu? Tafadhali fafanua hapo ati!!

.
Maana yangu hapa inavuka mipaka ya uasili kwa maana ya bikra pekee.
Namaanisha mwanamke whose not submissive to her husband, she is willing to be the head of the house. Asili haitufundishi hivyo.
Nyumba ya namna hiyo, tarajia kuvuna kimbunga maana tayari asili ishaharibiwa.
.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom