Kwa nini nasema CCM itashinda Igunga

Kwa nini nasema CCM itashinda Igunga

Umetumia muda wako wote kuandika huu upupu?
CCM itashinda kutokana na sera nzuri zinazomnufaisha mwnanchi. That's all

Rejao, as always: proving your foolishness. Magamba could win in Igunga only by poll rigging and in as much as you must be aware there's evidence of this. Nevertheless, magamba will rely on using the police, ffu etc, BUT not because of your good policy.
Hata nyie mwajijua kwamba you stink!
 
Ushindi wa CCM Igunga ni obvious kutokana na sababu moja kuu, kwamba wapiga kura ni watu wenye uelewa mdogo sana kuliko mimi na ww, na wale wenye uelewa mkubwa tuseme wasomi ndiyo hao ambao mara nyingi huwa hawapigi kura.<br>Uelewa mdogo wa mambo yanayoendelea nchini unaweza kuulinganisha na elimu duni inayotolewa na serikali ya ccm, kwa kuhakikisha shule za kata zisizo na waalimu wa kutosha, maabara, maktaba n.k.<br>Mtu wa kawaida katika vijiji na kata za Igunga hajui kama tunailipa Dowans kwa uonevu kwa hali ya juu kutoka kwenye kodi zetu. Infact hajui hata hiyo kodi anailipa hata kwenye sabuni anayoitumia kuogea. Simply ni kwamba hana elimu. Vyombo vya habari kama magazeti husomwa na watu wachache mjini Igunga, wengi vijijini hawajui kusoma na hawana hela za kununulia magazeti. Hivyo hawana habari ya maovu ya ccm. CCM bado kwao ni ya mwalimu.Uislamu nao umeshika kasi yake Igunga. Tunapoongelea hili tunaongelea ufinyu wa elimu dunia kama tunavyoiita wenyewe.<br>

Speculating and distorting.
 
Wenye matokeo wayatoe, lakini kutokana na maelezo ya ITV leo asubuhi inaonekana ccm inaongoza maeneo ya vijijini. Taarifa ya ITV inasema kuna baadhi ya watu kutoka maeneo ya vijijini waliokuja kupiga kura walikuwa hawajui kusoma wala kuandika, wapo waliokuwa hawajui hata lugha ya kiswahili. Kama nilivyotabiri awali ccm itashinda si kwamba wana tekeleza sera nzuri ni kwa sababu ya ujinga na elimu finyu ya watu vijijini. Ni hapo serikali hii pumbavu itakapoamua kupeleka watu shule ndipo ambapo macho ya watu yatafunguka.
 
mkuu fafanua jinsi sera za CCM zilivyomnufaisha mtanzania wa igunga for your info. asilimia 80 ya wakazi wa igunga hawana maji safi
wala salama, wakazi wa igunga wenye umeme ni aslimia 11 tena usio wa uhakika. na hii ni asilimia kubwa ya Tanzania ukiondoa maeneo ya mijini hiko kama igunga.
kuhusu ushindi wa ccm mambo siyo rahisi kama watu wengi mnavyofikiria kama ingekuwa ushindi wa CCM ni obvious basi usingeona nusu
ya baraza la mawaziri na almost serikali nzima imeamia Igunga wanafanya hivyo kwa sababu hali ni ngumu sana angalia mwenyewe jinsi
mikutano ya chadema inavyokusanya watu na watu hao wanakumbushwa facts tu maana wenyewe hali ngumu ya maisha wanaiona.

Sasa hata km CDM wangeshinda hayo maji masafi wangeyatoa wapi bila kuipigia magoti serikali ? ingekuwa aibu kwa CDM kushinda then wanatekeleza ilani ya ccm , ni bora wameshindwa !
 
there is no right way ccm can win unless rigging!

Hayo wasema ww ila wananchi wanaikubali ndio maana wanashinda. Niliisha wahi kuandika humu JF kukusanya uwingi wa watu sio kwamba ndio mshindi, lakini sijui kwa nn cdm hawaelewegi hili, unaona sasa aibu waliyoipata na rasilimali walizo poteza
 
Sidhani kama uchambuzi wako unajitosheleza. Unaposema watu wa Igunga wana uelewa mdogo una maana gani? Kama ni hivyo hiyo ni hali ya nchi nzima tu wala sio Igunga peke yake. Isitoshe watu wanaangalia sera za chama ndizo wanapigia kura.

hujaelewa wewe soma tena.
 
Back
Top Bottom