Huyu jamaa haonekani misibani kwa nini? Sio tu kuzika hata kwenda kuhani?
Anaona kuwa karibu na wanasimba ndio kila kitu mpaka anaisahau jamii ingne?
Au masharti ya wataalamu wake
Mara nyingi anakuwa Uingereza MkuuBakhresa ndio kazidi
Hili ni tatizooo.Hata Baharesa sijawahi kumuona au kusikia kaenda msibani!!!!Huyu jamaa haonekani misibani kwa nini? Sio tu kuzika hata kwenda kuhani?
Anaona kuwa karibu na wanasimba ndio kila kitu mpaka anaisahau jamii ingne?
Au masharti ya wataalamu wake
huyo Bakhresa umewahi kumuona kwenye tukio gani la kawaida?Bakhresa ndio kazidi
Uzwazwa huo wapi nmeongelea kuhudhuria msiba wa mengi? Ama misiba kwa ujumla?Aliekufa amekufa ,asipozikwa na ndugu atazikwa na manispaa, wacha maisha yaendelee kwa walio hai, kwani Mengi ni nani mpaka kila mtu hawepo msibani kwake? yeye Mengi amehudhuria msiba gani kwa Mo ,acheni majungu
Hawezi kuja kwenye misiba ya Waswahili kwa sababu yeye kwanza siyo Mswahili mwenzenu na siyo Mtanzania. Mpakistan huyo
Usha wahi kumwona mhindi au mwarabu msibani? Au ushawahi kuhudhuria misiba ya kwao ukaona inafanyikaje? Ntakupa baadhi ya dondooo:-Huyu jamaa haonekani misibani kwa nini? Sio tu kuzika hata kwenda kuhani?
Anaona kuwa karibu na wanasimba ndio kila kitu mpaka anaisahau jamii ingne?
Au masharti ya wataalamu wake
Manji alikua na bifu na mzee sio rahisi kwenda, afu bakhressa alituma muwakilishi nyumbani kwake na alizungumza kwa mo sijajua labda alikua anasherekea birthday yakeSubhash Patel ni mmoja wa viongozi wa chama cha wafanyabiashara na alikuwepo kwenye ratiba ya kutoa hotuba hakuwa na namna lazima angekuwepo tu, Vipi ulimuona Bakhressa na Rostam, Manji vipi naye alikuwepo?
Kwani msibani lazima ule?Usha wahi kumwona mhindi au mwarabu msibani? Au ushawahi kuhudhuria misiba ya kwao ukaona inafanyikaje? Ntakupa baadhi ya dondooo:-
1. Hawaamini kuzika, wao huchoma moto mwili na majivu huhifadhiwa
2. Akifa mtu hawana utamaduni wa chakula msibani, wao wanaamini ni jambo lisilowezekana maana huwezi mlazimisha ale wali harage wakati yeye chakula chake ni chapati za ngano isiyokobolewa. Hivyo hata kwenye misiba yao, hakuna chakula, kila mtu atakula kwake.
Nimeeleza mila na desturi za wahindi, lkn unauliza swali la kizembe. Kama wewe ni african, hudhuria misiba sana lkn usile utakuja kupata swawabu yako. Kula msibani kwa mila na desturi za africa ni lazima siyo ombiKwani msibani lazima ule?
Subhash Patel ni mmoja wa viongozi wa chama cha wafanyabiashara na alikuwepo kwenye ratiba ya kutoa hotuba hakuwa na namna lazima angekuwepo tu, Vipi ulimuona Bakhressa na Rostam, Manji vipi naye alikuwepo?
Uongo wangu uko wapi? Kipi nimesema cha uongo?Unakua muongo hadi mwezi mtukufu?