MO si muhindi Sasa tatizo nn, mbona misiba ya Wahindi wenzake anahudhuria? Sema kwa nn MO haudhurii misiba ya Waafrika????
Kwasababu sie Waafrika hatuhudhurii ya Wahindi
MO si muhindi Sasa tatizo nn, mbona misiba ya Wahindi wenzake anahudhuria? Sema kwa nn MO haudhurii misiba ya Waafrika????
Azim Dewji. Nilimuona kwa macho yangu. Watu waache noma.Hivi Dewji aliyetajwa kuwa amefika kuuaga mwili wa Mengi pale Karimjee alikuwa ni Dewji gani
Azim Dewji. Nilimuona kwa macho yangu. Watu waache noma.
Huyo aliyetajwa, Alikuwa ni Azim Dewji, kaka yake mo.Nilimsikia mtangazaji mmoja aitwaye Sebastian Kolowa kama sijakosea alimptaja Dewji kuwa anamwona akielekea kutoa heshima za mwisho
sasa ruge si alikuwa mgonjwa taabani!! Mengi mbona alitweet...Alipotekwa MO, Mengi kama Reginald aliwahi kutoa statement yoyote kuzungumzia tukio hilo?
au Ruge aliwahi kuongelea tukio hilo kama alivyoguswa kutekwa kwa Roma Mkatoliki?
Nadhani anafahamu kuwa ana maadui wengi sana, na hana ulinzi, unakumbuka alivyotekwa?Watu wengi wameanza kuhoji Kwanini @moodewji hahudhulii kwenye misiba?!
Msiba wa Ruge Mutahaba hakuwepo, msiba wa Ephraim Kibonde hakuwepo na msiba wa Dr Reginald Mengi hakuwepo.
Mnakumbuka kipindi alipotekwa Tulivyoungana tukapaza sauti na kumlilia pamoja na kumuombea mpaka akarudi mzima?!?
Maybe labda anahisi hayamuhusu basi na sisi kumbe tulijipendekeza kipindi kile.
Funguka tu kwa mawazo yako
View attachment 1093210
Kumbe kawakilishwa, inatosha!Huyo aliyetajwa, Alikuwa ni Azim Dewji, kaka yake mo.
Uko Sawa kabisa.Kumbe kawakilishwa, inatosha!