Kwa Nini Mo Dewiji haendi misibani?

Kwa Nini Mo Dewiji haendi misibani?

Wahindi sio ndugu zetu japo wanaweza kuwa watanzania wenzetu

Katika hili tunawalaumu zaidi waarabu na wahindi kwa kuwa kwenye maslahi huja kwetu
Mfano dewij wakati akiwa mbunge ilibidi ashuke kwa wananchi kuomba kura ila kwa kuwa hana hitaji lolote kwasasa huwezi kumuona

Huwa nashangaa badhi ya wadanganyika wanashoboka na hawa makabochori wabongo
 
Acheni hizo bana. Sio lazima kwenda msibani or harusini. Ni uamuzi wa mtu banaWengine hatupendi maeneo ya huzuni huzuni na kuna wale wasiopenda kelele kelele za miziki. Sasa mnajuaje? After all unaweza kuta walishawapigia simu na kuwapa pole kitu ambacho kinatosha kabisa...
 
Labda mila zao zinawaruhusu kuhudhuria mpirani tuu na sio misibani!!!! wao si wanachoma??
 
Nasikia mbona alikuwepo kwenye Kuaga kwa Mengi na Hata Airport kuupokea mwili alikuwepoo...! bakhresa nasikia yuoo Uarabuni huko...
 
Makosa mnayoyafanya au tunayoyafanya sisi watu weusi ni kuona wahindi, waarabu na wazungu ni ndugu zetu wakati ukweli ni kwamba wao wanatuona sio ndugu zao huo ndio ukweli mchungu, Mtu mweupe hata awe rafiki yako wa karibu sana jua tu moyoni kwake hana undugu na wewe na moyoni kwake wewe upo tu kama binadamu mweusi..

Waafrica tujitahidi kupendana wenyewe na kujenga mataifa yetu tuache ubinafsi na ujinga wetu ili tujenge heshima yetu hapa duniani. Dunia haiwezi kuheshimu mpumbavu hata siku moja na hivyo ndivyo Waafrica tunavyochukuliwa na Dunia, Kujitoa kwenye upumbavu na kujenga heshima ni kujenga Mataifa yetu ya Africa na kuacha mambo ya kipumbavu yanayofanya Africa kuwa Masikini..
Mbona Subhash Patel alikuwepo msibani na yeye ni mhindi? MO kutokwenda msibani ni kwa sababu zake binafsi na sio kwa sababu ni Muhindi. Acha ubaguzi wa rangi mkuu!
 
Mbona Subhash Patel alikuwepo msibani na yeye ni mhindi? MO kutokwenda msibani ni kwa sababu zake binafsi na sio kwa sababu ni Muhindi. Acha ubaguzi wa rangi mkuu!

Subhash Patel ni mmoja wa viongozi wa chama cha wafanyabiashara na alikuwepo kwenye ratiba ya kutoa hotuba hakuwa na namna lazima angekuwepo tu, Vipi ulimuona Bakhressa na Rostam, Manji vipi naye alikuwepo?
 
Huyu jamaa haonekani misibani kwa nini? Sio tu kuzika hata kwenda kuhani?
Anaona kuwa karibu na wanasimba ndio kila kitu mpaka anaisahau jamii ingne?
Au masharti ya wataalamu wake
Aliekufa amekufa ,asipozikwa na ndugu atazikwa na manispaa, wacha maisha yaendelee kwa walio hai, kwani Mengi ni nani mpaka kila mtu hawepo msibani kwake? yeye Mengi amehudhuria msiba gani kwa Mo ,acheni majungu
 
Mbona Subhash Patel alikuwepo msibani na yeye ni mhindi? MO kutokwenda msibani ni kwa sababu zake binafsi na sio kwa sababu ni Muhindi. Acha ubaguzi wa rangi mkuu!
Hata rostam aziz pamoja na bifu lake na mzee mengi huko nyuma lakini alikwenda karimjee kuaga.
 
Huyu jamaa haonekani misibani kwa nini? Sio tu kuzika hata kwenda kuhani?
Anaona kuwa karibu na wanasimba ndio kila kitu mpaka anaisahau jamii ingne?
Au masharti ya wataalamu wake
wewe unataka aende hata misiba isiyomhusu? wewe mbona jana hukuwepo msibani hapo mtaa wa pili?
 
Mbona Subhash Patel alikuwepo msibani na yeye ni mhindi? MO kutokwenda msibani ni kwa sababu zake binafsi na sio kwa sababu ni Muhindi. Acha ubaguzi wa rangi mkuu!
Rostam
IMG_20190510_112320.jpeg
 
Back
Top Bottom