Kwa Nini Mo Dewiji haendi misibani?

Kwa Nini Mo Dewiji haendi misibani?

ha ha ha,sijui labda ilitakiwa ukoo wote wa dewj wahudhurie pale
 
....ewe kiumbe jiepushe na dhana mbaya kwani dhana mbaya ni dhambi,..
.....eti mbona fulani kadha wa kadha basi atakuwa kadhaa..
...na unasahau yakwako kadha wa kadhaa na kubaki kuwa kadhaa..
...embu jiukumu kwanza wewe afu ndo waukumu wenzako..

Judging someone doesn't define who are they but it define you who you are''
 
Kuna andiko moja linasema waacheni wafu wakazike wafu wenzao huwa lina maana gani vile?

binafsi hata mimi ni mzito sana kwenda kwenye misiba ingawa naumia kusikia mtu amekufa.
 
MO si muhindi Sasa tatizo nn, mbona misiba ya Wahindi wenzake anahudhuria? Sema kwa nn MO haudhurii misiba ya Waafrika????
Unajua kuna ujinga na kasumba imezuka siku hizi ya kufanya msiba kama sehemu ya maonyesho na kujipatia social and political mileage! Ni unafiki mtupu! Kama MO au Bakhessa hakuwa na undugu au urafiki na marehemu mimi sioni sababu ya kwenda. Yaani watu wana-suggest waende kwa sababu tu tajiri mkubwa au mtu maarufu amefariki?
 
Kwa hili la Dr. Mengi walipaswa kuwa mstari wa mbele,labda hawajui usemi wa wahenga "leo kwangu kesho kwako"
 
Watu wengi wameanza kuhoji Kwanini @moodewji hahudhulii kwenye misiba?!
Msiba wa Ruge Mutahaba hakuwepo, msiba wa Ephraim Kibonde hakuwepo na msiba wa Dr Reginald Mengi hakuwepo.
Mnakumbuka kipindi alipotekwa Tulivyoungana tukapaza sauti na kumlilia pamoja na kumuombea mpaka akarudi mzima?!?
Maybe labda anahisi hayamuhusu basi na sisi kumbe tulijipendekeza kipindi kile.
Funguka tu kwa mawazo yako
View attachment 1093210
Msiba wa Ruge alikuwepo jamani.
 
Write your reply... hawa watu weupe wanatubagua sisi weusi, lakn sisi hatujui namna ya kubalance shobo! tuache kuwaabudu hawa makabachori!
 
Huyu jamaa haonekani misibani kwa nini? Sio tu kuzika hata kwenda kuhani?
Anaona kuwa karibu na wanasimba ndio kila kitu mpaka anaisahau jamii ingne?
Au masharti ya wataalamu wake
JK alikuwepo Moshi?
 
Watu wengi wameanza kuhoji Kwanini @moodewji hahudhulii kwenye misiba?!

Msiba wa Ruge Mutahaba hakuwepo, msiba wa Ephraim Kibonde hakuwepo na msiba wa Dr Reginald Mengi hakuwepo.

Mnakumbuka kipindi alipotekwa Tulivyoungana tukapaza sauti na kumlilia pamoja na kumuombea mpaka akarudi mzima?!?

Maybe labda anahisi hayamuhusu basi na sisi kumbe tulijipendekeza kipindi kile.

Funguka tu kwa mawazo yako

View attachment 1093210
Mmeamka sasa kutoka usingizini....pigeni miswaki mgonge tee
 
Makosa mnayoyafanya au tunayoyafanya sisi watu weusi ni kuona wahindi, waarabu na wazungu ni ndugu zetu wakati ukweli ni kwamba wao wanatuona sio ndugu zao huo ndio ukweli mchungu, Mtu mweupe hata awe rafiki yako wa karibu sana jua tu moyoni kwake hana undugu na wewe na moyoni kwake wewe upo tu kama binadamu mweusi..

Waafrica tujitahidi kupendana wenyewe na kujenga mataifa yetu tuache ubinafsi na ujinga wetu ili tujenge heshima yetu hapa duniani. Dunia haiwezi kuheshimu mpumbavu hata siku moja na hivyo ndivyo Waafrica tunavyochukuliwa na Dunia, Kujitoa kwenye upumbavu na kujenga heshima ni kujenga Mataifa yetu ya Africa na kuacha mambo ya kipumbavu yanayofanya Africa kuwa Masikini..
Kweli kabisa hawana lengo lolote na sisi
 
Back
Top Bottom